Kwanini wanawake mna tabia hizi?

Kwanini wanawake mna tabia hizi?

Wengi mahawara wa bosi na kazi za kuhongwa hawana uchungu nazo..na elimu ndogo pia
 
Dawa yake na ww unakuja juu mpk ofisi nzima wanakuwa wa baridi mazoea ya kaz yataisha tu
 
Watanzania wengi (siyo wanawake tu) tunapenda sana kupata kazi ila hatutaki kufanya kazi. Ndiyo maana mfumo mzima wa nchi hii unahitaji kufumuliwa kabisa.

Kwa wale wanaoajiri, kuna tofauti kubwa sana ya utendaji kati ya waajiriwa wa serikali wa kudumu na wale wa mkataba wa muda mfupi mfupi.

Bahati mbaya hata kampuni binafsi zina wafanyakazi wanaofanya ubabaishaji wa hali ya juu!

Sometimes naona hawa wa kwenye makampuni binafsi wana uadilifu zaidi, mf. wale wa Crdb...Sijawahi kutana na customer care mwenye nyodo toka ile kampuni Dark City
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa nawapiga makofi tuu
 
Sometimes naona hawa wa kwenye makampuni binafsi wana uadilifu zaidi, mf. wale wa Crdb...Sijawahi kutana na customer care mwenye nyodo toka ile kampuni Dark City

Ni kweli baadhi ya kampuni wanafanya vizuri sana. Hata hivyo, zipo kampuni kibao ambazo ni private na wanafanya mambo ya kipuuzi sana. Nina uzoefu mbaya sana na watu DHL na FedEx wanapopokea mizigo kutoka nje inayohitaji kufanyiwa custom clearance. Inafikia mahali unawapigia simu wanagoma kupokea!
 
Wengi mahawara wa bosi na kazi za kuhongwa hawana uchungu nazo..na elimu ndogo pia

Hili nadhani litakuwa na ka uhalisia flani lidocaine niko kwenye taasisi moja ya kielimu inaitwa MoCU kuna secretary mmoja yuko kwenye ofisi ya msajili anajulikana kwa kauli chafu yani kila mtu anamtambua! Huwezi kwenda na tatizo lako asikuletee jam, anachukiza laana yan! Sometimes nahisi aliingia kitengo kwa mchakato maana haonekani kuwa na u smart wowote kwa vitendo anavyovifanya tu...
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa nawapiga makofi tuu

wax hahahahahah, yani nilivyo short tempered ningekuwa na mkono mwepesi ningejaza RB vituoni...Sema walipue tu hao!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu 1st AID nafurahi kukuona tena.

Utakua una impression nzuri ndio maana mkuu.
Hahaha kama wanategemea uwatoe ukakauka huoni huenda UKAWA huwatendei haki mheshimiwa spika.. ooh samahani Mr. 1st AID ?

Sijui ni muonekano mi wengi hutarajia niwatoe...leo ndo umenipa jibu.

Poor customer care and lack of integrity
 
Last edited by a moderator:
Aaah hapana sio kweli,labda wachache uliokutana nao

brenda18 mi nina hisi we hujawahi kwenda hospitali ya serikali, hujaenda tanesco, idara ya maji ,ardhi , kujiandikisha kura na sehem kama hizo!
 
Last edited by a moderator:
Eeheeeee... ngoja nikutambulishe kwa mwenzako. Huyu ni poti mmoja. Alikuwa na mgonjwa wake pale hosp. ya mkoa Iringa. Kufika pale mtoa huduma (kingdom "ke") akaanza blabla zake. Ohoooooo,,, poti akaona isiwe shida, akampa za kikoplo palepale. Baada ya muda jamaa akawekwa chemba na wakubwa zake, lakin waliyamaliza, na pale hospitalin wanampa RESPECT
 
Kikubwa ambacho nakiona kinaharibu wengi ni Ulevi/Kiburi cha kazi na mazoea mabaya.

We imagine mtu humjui unaanza kujibu ujinga ujinga tu...
Lakini pia wengi wanapima mtu kwa bei ya macho.. ukija na mgari wa maana wanakukimbilia,
ukija vinginevyo wanakuona unawasumbua tu, sasa wameajiriwa hapo kwa ajili gani?

Wema hauozi, usichague mtu wa kuwa mwema kwake, kuwa wewe kwa kila mtu.


tabia za kishamba hizo, kumthamini mtu kwa kitu alichonacho, nguo alizovaa na vitu vya namna hio Tized mi ntawatoa mswaki mwanzo mwisho, hakuna hata sent tano na huduma watanipa tu
 
Last edited by a moderator:
Nadhani si wanawake tu kwa tanzania ni mfumo ndio uko na shida. Inabidi mfumo mzima ufumuliwe watu wajue kutofautisha kazi na tabia binafsi.Maana kama ingekuwa shida ni wanawake mbona tukienda nchi za wenzetu wanawake wana customare care nzuri sana. Mi nilienda ofisi za balozi za tanzania receptionist alikuwa ni mwenyeji wa hiyo nchi alinipokea vizuri sana lakini watanzania tena wanaume walinionyesha madharau sana yaani anakuona uko na shida na si yeye ndie akuhudumie. Kwa ujumla watanzania ile kauli ya mteja ni mfalme kwao inasomeka mteja ni mwenye shida
 
Ni kweli baadhi ya kampuni wanafanya vizuri sana. Hata hivyo, zipo kampuni kibao ambazo ni private na wanafanya mambo ya kipuuzi sana. Nina uzoefu mbaya sana na watu DHL na FedEx wanapopokea mizigo kutoka nje inayohitaji kufanyiwa custom clearance. Inafikia mahali unawapigia simu wanagoma kupokea!

Kweli mkuu hapo DHL wadada wa hapo wanaringa sana
 
mimi mbona nilikumkuta Tra akanijibu ujinga nilimpa Kofi moja mpaka akaanguka.na baadaye nikaenda police nikaa masaa manne nikatoka na mpaka leo yule mmama nikiendaga ananihudumia vizuri kweli

Aisee hio safi sana, umemshtua akili kidogo CHIEF JJ masaa nane ila yamezaa matunda!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom