Kwanini wanawake mna tabia hizi?

Kwanini wanawake mna tabia hizi?

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,597
Yan nimepatwa na hasira sana maana kuna hiki kijitabia ambacho wanawake wengi wanacho hasa wale wanaofanya kazi kwenye taasisi za kiserikali.

Unakuta mtu umeenda kufanya jambo kwenye ofisi ya mtu, wewe kama mteja unategemea uhudumiwe kikarimu ila mambo yanakuja kuwa kinyume.

Mtumishi anakukaripia utadhani amelazimishwa kukalia hicho kitengo. Hii nimeiona katika taasisi mbali mbali sio moja tu ambazo ni za kiserikali.

Wanawake mbona wanakuwaga na matatizo hivi kuliko hata wanaume ambao unawakuta kitengo kimoja?
 
Kikubwa ambacho nakiona kinaharibu wengi ni Ulevi/Kiburi cha kazi na mazoea mabaya.

We imagine mtu humjui unaanza kujibu ujinga ujinga tu...
Lakini pia wengi wanapima mtu kwa bei ya macho.. ukija na mgari wa maana wanakukimbilia,
ukija vinginevyo wanakuona unawasumbua tu, sasa wameajiriwa hapo kwa ajili gani?

Wema hauozi, usichague mtu wa kuwa mwema kwake, kuwa wewe kwa kila mtu.

 
Kubweteka na kujiona wamefika sana hasa akienda mwanamke mwenzao ndo Hawaji shughulishi kabisa
 
mimi mbona nilikumkuta Tra akanijibu ujinga nilimpa Kofi moja mpaka akaanguka.na baadaye nikaenda police nikaa masaa manne nikatoka na mpaka leo yule mmama nikiendaga ananihudumia vizuri kweli
 
wanawake ndivyo walivyo, kuna operator mmoja tigo nilimtukana japo walikuwa wanarekodi!
 
Kwa ujumla tz customer care ni zero.mteja anaonekana ---- Hasa kama unaonekana unakipato kidogo.tofauti na nchi zilizoendelea.pia hata sehemu ya kulalamika hamna.ukiomba kuonana na bosi,bosi mwenyewe ndo walewale.inakera sana
 
Daah kama ulikuepo kwenye mind yangu...yan hata me wananikera sana wanawake wa namna hii stupid sana
 
Kiukweli leo kuna mhudumu mwanamke kanikwaza sana.Yaani nafika tu,kaanza kunikaripia kama mtoto mdogo.Nikawaza hivi hawa viumbe ubongo wao unauwezo wa kufanya maamzi kweli?Habari ya kukabidhi madaraka kwa kwa KE kinatusumbua wengi kwakweli.
 
Watanzania wengi (siyo wanawake tu) tunapenda sana kupata kazi ila hatutaki kufanya kazi. Ndiyo maana mfumo mzima wa nchi hii unahitaji kufumuliwa kabisa.

Kwa wale wanaoajiri, kuna tofauti kubwa sana ya utendaji kati ya waajiriwa wa serikali wa kudumu na wale wa mkataba wa muda mfupi mfupi.

Bahati mbaya hata kampuni binafsi zina wafanyakazi wanaofanya ubabaishaji wa hali ya juu!
 
Mimi huwa nawachamba haswaaa.Nahakikisha amenihudumia alafu cha moto anakiona tena namwambia nikija tena nataka unihudumie wewe japo umeniudhi.Baada ya hapo tunakuwa marafiki.In short hakuna customer care Tanzania hasa huku mikoa ya kina Mwafulani tunakomajee
 
Kikubwa ambacho nakiona kinaharibu wengi ni Ulevi/Kiburi cha kazi na mazoea mabaya.

We imagine mtu humjui unaanza kujibu ujinga ujinga tu...
Lakini pia wengi wanapima mtu kwa bei ya macho.. ukija na mgari wa maana wanakukimbilia,
ukija vinginevyo wanakuona unawasumbua tu, sasa wameajiriwa hapo kwa ajili gani?

Wema hauozi, usichague mtu wa kuwa mwema kwake, kuwa wewe kwa kila mtu.


Sijui ni muonekano mi wengi hutarajia niwatoe...leo ndo umenipa jibu.

Poor customer care and lack of integrity
 
Back
Top Bottom