Kwanini wanawake kwa wanawake hawapendani

Kwanini wanawake kwa wanawake hawapendani

Mimi nitakueleza kisomi zaidi nikiwa kama mtaalam...Mwanamke ameumbwa na uchafu mwingi mwilini ndio maana ata kila mwezi anaenda period au kinyesi chake kina harufu kali sana...Sasa huu uchafu kwenye mwili unakaribisha wadudu wabaya kujificha mwilini ndio maana wanawake wengi ndio uwa na majini au mapepo...Viumbe vichafu vinavyojificha ndani yake ndio vinamfanya mwanamke kuwa na roho mbaya na kutokkuwa na upendo kwa watu haswa wenzake kama mawifi,majirani nk nk.

Hili ni swala la kitaalam ukitaka ntakuchimbulia zaidi.

Nimekunyaka Copro Matumbo!.....
 
50 by 50 ila uktaka kuthbtsha nenda bar,restaurant na dushee uudumiwe na mwanamke utaomba poo maana n shda
 
Ukweli hatupendani. Mie Hata kwenye daladala nikikaa na mwanamke mwenzangu nachukia.

hii inatokea wapi hii chuki ? juzi kati nilikuwa nafatilia kitu flan kwenye taasisi ya uma huyo afisa wa kike niliemkufa alinikatishaje tamaa bahati kuna afisa wa kiume nikamfata akanielekeza vizuri na nikafanikiwa siku hiyo hiyo
 
Nafikiri ndio mlivyo nakumbuka siku moja nilikuwa na my mother town tukaingia restaurant kupata msos akaja dada mhudumu chaa ajabu mama akaanza kumsema eti anajisikia sana tuondoke nilishangaa sana.
 
aslimia kubwa ya wanawake hawapendi kwa sababu ya wivu na tamaa ktk maisha akifanikiwa mmoja wengine huweka chuki kwa mwenzao
 
sisi ndio wanawake bana yani gubu za kidwanzi tu sijui roho hizi lakini mungu anatusaidia tunavuka yote duuu sijui ni nini aiseee usiombe ukutane na mtu wa dizaini hii hata mama yako atamuchukia lazima ukae
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kuchangia
 
Last edited by a moderator:
Tunapendana sana tuu na kama ni ishu za kusaidiana tunasaidiana sana tuu tatizo lipo kwa hao uliokutana nao.
 
hii ni kweli Leo kwenye daladala nlimkanyaga mdada mmoja kidogo bahati mbaya.
nikawahi kumwambia samahani Aisee aliniwakia duh.
sikusita nikampa makavu yake akashuka!
 
Back
Top Bottom