Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Asante kwa maelezo mkuu 💯 ila hujajibu swali langu.

Ila sababu umeogelea hasira, nakubali mnazo kwa wingi, ila kwanini huwa mnashindwa kuzidhibiti na mnakimbilia kwenye violence badala ya solutions nyingine?
 
Kwahiyo kwenye hisia mnakubali nyie ni dhaifu kuliko wanawake?
binti, mbona umekazania sana wanaume tukiri wazi wazi kuwa sisi ni dhaifu zaidi? Nia yako haswa ni nini? Unataka kutudhalilisha mazima sio?

Anyways, what if wanaume imetutengeneza kuwa hivyo hivyo ili kuleta balance kwenye meaning hapa ulimwenguni? Bila hizo tabia unazoziita hasira na visasi kuna namna maisha yangekuwa mabaya zaidi ya haya yaliyopo.
 
Asante kwa maelezo mkuu 💯 ila hujajibu swali langu.

Ila sababu umeogelea hasira, nakubali mnazo kwa wingi, ila kwanini huwa mnashindwa kuzidhibiti na mnakimbilia kwenye violence badala ya solutions nyingine?
Violence ndio namba bora zaidi ya kutatua matatizo kuliko njia nyingine zozote.

Kuna watu bila vitendo ukasema mtumie maneno na ustaarabu hamuwezi kuelewana na amani kamwe haitopatikana.

Hope swali limejibiwa
 
Asante kwa maelezo mkuu 💯 ila hujajibu swali langu.

Ila sababu umeogelea hasira, nakubali mnazo kwa wingi, ila kwanini huwa mnashindwa kuzidhibiti na mnakimbilia kwenye violence badala ya solutions nyingine?
Ndivyo tulivyo tangu zamani

Kaini alikasirika dhidi ya ndugu yake Habil, Mungu akamuonya kuhusu hasira yake, lakini mwisho akamuua. Somo: Mungu aliytuumba anajua tuna hasira

Pia wana wa Yakobo waliposikia kwamba dada yao Dina amedhalilishwa, hasira yao ikawafanya waende mbali hadi kuua watu wa mji mzima

Kuna siku Jesus kaingia hekaluni Jerusalem kakuta mawinga wanafanyabiashara mjengoni kwa mshua wake, alichapa mijeledi sio poa that day. Je, Jesus alikuwa dhaifu?

So, since way back, hasira kali kwa wanaume imekuwa ikionekana testorone zikishapanda hapo ni suala jingine

Ingawa siungi mkono kuumizana kwa namna yoyote ile
 
Labda hasira kwa sababu mwanaume anajisikia kuibiwa au pia kusalitiwa na mwenza aliyemuamini.
Nafikiri kupata hasira au maumivu ni kawaida ila kuwa violent, kupiga, kuumiza au kuua hiyo si sawa.
 
Wanaume ni dhaifu kwa kila kitu, hata kudhibiti hisia za mapenzi hawawezi..!!

Mwanaume akiwa na hisia za ngono anaweza kubaka hata mbuzi..!!

Hao ndo viumbe namba moja kwa udhaifu..!!

Na kama huamini subiri uone watavyoishambulia comment yangu..!!
 
Testosterone ni aggressive hormone
 
Kwani??Hembu Tuanzie hapa

Iqlima na labuda ni mapacha wa kaini na abel.

Unadhani waliouwna ni hao wadada labuda na mrembo iqlima?

Jibu unalo tajiri
 
Mbona kwenye mauaji ya visasi na hasira mnaua wanaume wenzenu zaidi kuliko wanawake, hapo mapenzi yanahusikaje?
Mwanaume ni jasiri na sio muoga ukicompare na mwanamke..... japokuwa kuna moments hata jambazi katili mbele ya mwanamke linapiga salute!
 
Testosterone na misuli
 
Bro....
1. Wanaume wangi hawana pa kulilia ili kupunguza maumivu ya hisia zao.
2. Wanaume kiasili hawahurumiwi na dunia.
3. Wanaume wengi kiasili wanaona fedheha kusema madhaifu ama changamoto wanazo pitia.
Bro J,
Natambua hizo changamoto, ila zinahusiana nini na nyie kuwa violent, kupiga, kuua n.k?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…