Kwanini wanaume wengi wana udhaifu huu?

Hawa watu hawa aloooo
Walee watoto wako vizuri wasije kuangukia kwenye hili kundi la kijinga
 
From evolutionary standpoint? Au kwa hoja za mtaani tuu na mazungumzo ya kwemye gahawa na Salons
 
Wanawake siku hizi wamejaa viburi sana na hasa baada ya semina zenu za kutiana ujinga mnataka kuwapanda wanaume kitu ambacho sio hulka ya wanaume kwa asili
 
Tunawekeza vingi Hadi hatma kwa wapenzi tulioletewa na nature!
tukiona visivyomatarajio we go for it! that's it!
 
Nina watoto wa kiume pekee na hili ni swali ambalo nimekua nalo kwa muda mrefu na naamini majibu yake yatanisaidia kuelewa kizazi changu pia.

View attachment 3684914
Jibu la swali lako ni kuwa Akili ya mwanaume inashika jambo moja kwa wakati haijalishi ni la furaha au huzuni so atuwezi kuachilia jambo tofauti na wanawake ndio maana mwanaume akiwa na hata mchepuko atalemewa utajua tuu tofauti na nyie mnaweza tupanga hata 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…