Kwanini wanaume wengi ni wambea wakupitiliza?

Km ilivyo duniani, ujinga na uchafu mwingi unaanzia marekani na kusambaa kwingeneko, ndivyo ilivyo kwny nchi zinazoendelea...uchafu mwngi unaanzia kwny miji yao mikubwa na Dar na mikoa mingne wanabaki kuwa wahanga!
Kabisa
 
Hii tabia wanayo sana watu wasiojua kutongoza huitumia kama
gia ya kuingilia lakini lengo linakuwa sio umbeya
 
Mambo vp wakuu natumai wazima kabisa.
Kulikoni ndugu zangu mbona hali imekua mbaya sana kwa wanaume wa tanzania? Yani wanapita hadi dada zao kwa umbea.

Zaman umbea tulikua tunajua wameumbiwa wanawake lakin saivi wanaume wamewazidi dada zao. Hii inakuaje wakuu?

Je kuongezeka kwa vitendo vya ushoga kunatokana na wanaume kuwa wambea kupitiliza au inakuaje wakuu?, Sasa unaona ulimwengu wa wanawake unavamiwa kwa kasi

Ni sahihi real men na midevu yake akae kitako apige umbea?

Ipi njia sahihi kwa hawa kaka-dada kuacha umbea coz haiwezekan hali iwe hivi siku zinavyozidi kwenda watakuja kucheka kama akina dada kabisa heee, weeee, ujibebe nakufata mitindo mingine ya wanawake kama mavazi na kujipodoa na kupumuliwa maana wivu wa kike ukizidi sana basi ndo kwaheri?
Hasa wa Dar
 
Inasikitisha sana...
Pole sana...

Usipende kuweka mambo yako hadharani... Haya ndiyo madhara yake...

Kwa mwanaume hauitwi umbea.. Inaitwa Siasa au anaitwa snitch...


Cc: mahondaw
 
Nilijua huku niliko ndiko umbea wa wanaume umezidi kumbe ni janga la kitaifa!
Lakini most of them ni hater tuu, unajua hakuna mtu anapenda kuona mwenzie akifanikiwa so hiyo gia ya umbea wanaitumia kusambaza habar mbaya za mhusika kumwangusha!
 
Back
Top Bottom