Kwanini wanaume wengi ni wambea wakupitiliza?

Mambo vp wakuu natumai wazima kabisa.
Kulikoni ndugu zangu mbona hali imekua mbaya sana kwa wanaume wa tanzania? Yani wanapita hadi dada zao kwa umbea.

Zaman umbea tulikua tunajua wameumbiwa wanawake lakin saivi wanaume wamewazidi dada zao. Hii inakuaje wakuu?

Je kuongezeka kwa vitendo vya ushoga kunatokana na wanaume kuwa wambea kupitiliza au inakuaje wakuu?, Sasa unaona ulimwengu wa wanawake unavamiwa kwa kasi

Ni sahihi real men na midevu yake akae kitako apige umbea?

Ipi njia sahihi kwa hawa kaka-dada kuacha umbea coz haiwezekan hali iwe hivi siku zinavyozidi kwenda watakuja kucheka kama akina dada kabisa heee, weeee, ujibebe nakufata mitindo mingine ya wanawake kama mavazi na kujipodoa na kupumuliwa maana wivu wa kike ukizidi sana basi ndo kwaheri?
Tatizo ni kuwa, Wanawake wanapo piga SOGA, Tafasiri ama tendo hilo likaitwa UMBEA....

Wanaume wanapo kaa kupiga SOGA, simply...tendo hilo wanasema "KUPIGA STORI"...

Binaadamu wote ME na KE ,tumeumbwa kuzungumza YASIYO KUWEPO...

Swala umbea ni kwa JINSIA zote..

N.B: SOGA= Habari zisizo za Msingi..
 
Mambo vp wakuu natumai wazima kabisa.
Kulikoni ndugu zangu mbona hali imekua mbaya sana kwa wanaume wa tanzania? Yani wanapita hadi dada zao kwa umbea.

Zaman umbea tulikua tunajua wameumbiwa wanawake lakin saivi wanaume wamewazidi dada zao. Hii inakuaje wakuu?

Je kuongezeka kwa vitendo vya ushoga kunatokana na wanaume kuwa wambea kupitiliza au inakuaje wakuu?, Sasa unaona ulimwengu wa wanawake unavamiwa kwa kasi

Ni sahihi real men na midevu yake akae kitako apige umbea?

Ipi njia sahihi kwa hawa kaka-dada kuacha umbea coz haiwezekan hali iwe hivi siku zinavyozidi kwenda watakuja kucheka kama akina dada kabisa heee, weeee, ujibebe nakufata mitindo mingine ya wanawake kama mavazi na kujipodoa na kupumuliwa maana wivu wa kike ukizidi sana basi ndo kwaheri?
Daa mkuu naomba unipe maana ya umbea na je wanaume wanausikaje
 
Umetukosea sisi wanaume humu ndani mkuu.

Wanawake ndiyo wambeya kupita kiasi mfano SHUNIE. Hiki kimwanamke kinajulikana kwa umbeya humu JF.

Hiki kimwanamke atakayekioa atakuwa kapeleka laana nyumbani.

Halafu kinajifanya kina hasira hatari wakati ni kimmbeya sana.
Mkuu kuna jamii naishi nayo sio rizki, Ivi mkuu unaweza nitofautishia umbea na usnitch tofauti zake?
 
Ivi wale shilewadu ni me au ke ?
Halaf hao shilawadu mbona niliskia dully sykes aliwadis nimagay?
Mkuu ukiwa mmbea lazima wivi wa kike uwe nao na hii tabia itakufanya upandiwe tuu. Mungu alipoumba wanadamu aliweka mipaka na tofauti kati mwanamke na mwanaume sasa mwanaume unapofanya majukumu ya kike we wategemea nini?
 
Umbea au kusema au kujihusisha na mambo yasiyokuhusu miongoni mwa vijana wa kiume ni ishara kuwa wanaume wengi hawapo kwenye mstari wa uanaume na wamejitoa kwenye uwajibikaji kama wanamume......

Kwa sifa mwanaume ni kiongozi na uongozi wake unapimwa kutokana na mwenendo wa jamii iliyomzunguka kuanzia ngazi ya familia na taifa kwa ujumla......

Hata hali ya mmomonyoko wa maadili tunaoushuhudia sasa hivi katika jamii zetu....unakuta kuwa ni kutokana na sisi kama wanamume kushindwa kusimamia mambo ambayo tulipaswa kuyasimamia....kwa kuwa jambo lolote baya kwenye jamii linaanzia ngazi ya familia......maana yake ni kuwa ni kuwa kama wakina baba ambao ndio vichwa wa familia wangesimama kwenye mstari haya mambo tunayoyashangaa na kuyalaani tusingeyaona kabisa......

Mwanaume kuwa mmbea ni moja ya athali za wanaume kutoka nje ya mstari....kwa kuwa mwanaume kama kiongozi ana mambo mengi ya kufanya ambayo yanamuweka mbali na ujinga huo.....badala yake wanaume wanayakimbia majukumu yao....na kujikuta muda mwingi hawana la kufanya na kujikuta wakiangukia huko....at least vijana wa vijijini wanajitahidi kubaki kwenye mstari wa uanaume.....ambao walau ukifika maeneo hayo unaweza kukutana na chembe ya maadili.....

TUJISAHIHISHE
Hii ni kweli, wale wa Dar wanachangia sana kutudhalilisha... mara wengine wapakwe mafuta
 
Umetukosea sisi wanaume humu ndani mkuu.

Wanawake ndiyo wambeya kupita kiasi mfano SHUNIE. Hiki kimwanamke kinajulikana kwa umbeya humu JF.

Hiki kimwanamke atakayekioa atakuwa kapeleka laana nyumbani.

Halafu kinajifanya kina hasira hatari wakati ni kimmbeya sana.
Ha ha ha we noma mkuu.
 
Ngoja waje watueleze vizuri kulikoni!!!!! Maana sio umbea tu, wamekuwa pia wazembe wazembeeee, wana gubuuuu, walalamishiiiii nk.
eeeh mnavyotushambulia hebu subirini kidogo tuvute pumzi...!!!
 
Km ilivyo duniani, ujinga na uchafu mwingi unaanzia marekani na kusambaa kwingeneko, ndivyo ilivyo kwny nchi zinazoendelea...uchafu mwngi unaanzia kwny miji yao mikubwa na Dar na mikoa mingne wanabaki kuwa wahanga!
 
Umetukosea sisi wanaume humu ndani mkuu.

Wanawake ndiyo wambeya kupita kiasi mfano SHUNIE. Hiki kimwanamke kinajulikana kwa umbeya humu JF.

Hiki kimwanamke atakayekioa atakuwa kapeleka laana nyumbani.

Halafu kinajifanya kina hasira hatari wakati ni kimmbeya sana.
Shunie njoo ujibu mashtaka yako hapa..!!!!
 
hizoo mambo za umbea peleka cloudz humu hazituhusu, halafu fikiria kwa akili sio matako.
 
Halaf hao shilawadu mbona niliskia dully sykes aliwadis nimagay?
Mkuu ukiwa mmbea lazima wivi wa kike uwe nao na hii tabia itakufanya upandiwe tuu. Mungu alipoumba wanadamu aliweka mipaka na tofauti kati mwanamke na mwanaume sasa mwanaume unapofanya majukumu ya kike we wategemea nini?
mkuu hao shilamwana ni wasengerema kabisa yan tabia zao ata za kinadada zina nafuu yan ata wanaume wanafatilia hyo mambo ya hao mashilamwana hua nawashangaa sana
 
Back
Top Bottom