kituko una vituko? nafurahi kwa swali lako zuriHao wazuri umeshatembea nao wangapi , na hao wabaya umeshatembea nao wangapi mpaka ukafikia level ya kuweza kuwatofautisha wazuri na wabaya?
Ngoja niishie hapa, mana naona ban njenje
Hata masista du kibao hawajui mapenzi yes yes kibao na kujidai ooh nimechoka tupumzike...Hii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngaoJamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you super dear...
Hapana swali umeuliza kwanini wanaume wazuri huwa hawawezi mapenzi! Inaonyesha unawajua vizuri ndio maana ukauliza hivyo! Jibu ni kwamba cyo wote uliojaribu kukutana nao wewe ndio wabovu. Ila wapo wengine utavalia kypi sebuleni ujue. Ukitaka uamini endelea kujaribu haribu utakutana nao tuu.Nooo,sio kuwa nimeutumia mwili kufanya majalibio but nimeuliza kwakuwa nasikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wanawake pia ni yale yale. Mtu anakuwa naye kama shoo tu,akihitaji vitu vya ukweli anachukua anayefanana na babu yake.Hii huwanajiuliza kwanini Wanaume wazuri hawajui mapenz au kwakuwa ni wazuri wanajisahau wanatumia uzuri kama ngaoJamani sio uzuri wasura ,kifua ,eeeeeeee nakuleee Jamani mjitume
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana swali umeuliza kwanini wanaume wazuri huwa hawawezi mapenzi! Inaonyesha unawajua vizuri ndio maana ukauliza hivyo! Jibu ni kwamba cyo wote uliojaribu kukutana nao wewe ndio wabovu. Ila wapo wengine utavalia kypi sebuleni ujue. Ukitaka uamini endelea kujaribu haribu utakutana nao tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo point iliyofanya nisikitike
great thinker! hii ni constructive thought nawakubali sana wanawake wenye akili kama hivi,mmbarikiwe.Nikuambie kitu, usijaribu usichana wako kwa kutembea na wanaume tofauti.
Chagua mmoja, use na future nae. Mtafundishana jinsi ya kuridhishana.
Hamna aliezaliwa anajua mapenzi.
Nikiangali Thread yako ya Wanawake tutambue thamani yetu, siamini kama ndio wewe umefungua uzi huu.
Mungu atusaidie sana.
Kumbe unanifwatiliaNikiangali Thread yako ya Wanawake tutambue thamani yetu, siamini kama ndio wewe umefungua uzi huu.
Mungu atusaidie sana.