Kwanini wanaume wanasuka nywele?

nahisi nakufahamu..kuna siku nita ku pm
 
mie napenda Navio wa Ug anavosuka...anakua handsome sana
 

Asante umemaliza,hakuna swali
 

Mwisho wa siku ni kutongozwa tu,na kulima 0713
 
Wanume wanaosuka, wanaovaa hereni, mlegezo nk ni MASHOGA
 

hii ya pete umeitoa wap?
 
Ili uweze kufika 3 basi 1 na 2 huwe umezipita...ukipenda ukihusudu kinachoamishika actually uta-copy na ku-paste...wasukao wamependa na wanahusudu tabia na matendo ya dada zao suala hili litawafikisha 3(ushoga) kwa maana 1 na 2 wamekwisha zipita as we see european nations needs Africans to accept no 3 (ushoga) coz we have already pass no 1 n 2...they ar not stupid than u think...wameliona hilo kuwa wanaojiita wanaume wapo wengi Africa
 
wengine wanafuata mkumbo tu. madada wengine safi sana kuna sister moja alikomaa kwelikweli kuwa hawezi kuwa na BF mvaa hereni,msuka nywele yaani wafuatane kwenda saloon waingie wote duka la vipodozi halafu asubuhi wabanane dressing table...upuuzi nilimwona mdada yule anaakili sana, pia wavulana wengine kuiga itakugharimu maisha yako yote kama kuchora tatoo nk nilikuwa form six at foolish age marafiki zangu wawili walitaka kusuka,kuchora tatoo kisa kuiga wahuni wa USA,leo wanajutia kama wangefanya bse moja wao leo luteni,mwingine ASP wa magereza kwa hiyo tuwashauri wadogo zetu wasiige upumbavu mlambe beto kabisa
 

Hongera sana umeongea logic
 
Tyta si unaona boga na kichwa vilivofanana....
ha ha ha umenchekesha na hizo picha zako loh!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…