Acha kuongea upuuzi wewe ficha upumbavu wako
Huyu mwenye manyoya kufuani na kwenye mashavu ni mwanaume au mwanamke???
makubwa .............
Kwanza punguza hasira...na pili naheshimu mawazo yako kwani tuku kwenye forum huru.Hakuna dume rijali lilokamilika haswaaaaa likaketi chini kitako Eti linasubiria kusukwa LOL wanaume wanaosuka wote ni mashoga tú
Pole sana! Kwa taharifa yako wanaume wanaojari mwili wao wanaenda salon anaweka ------ chini...anafanyiwa pedicure,manicure,super facial na hata body massage. Kuhusu kusuka nasema tena inategemeana na mazingira na hulka ya mtu,lakini hata hapo pia mwanaume anakwenda salon anaosha nywele zake,wanam-bodry kisha anasukwa style za kiume(hasa siku za weekend) kusuka style za kiume ni moja ya swaga kwa wakaka.Hakuna dume rijali lilokamilika haswaaaaa likaketi chini kitako Eti linasubiria kusukwa LOL wanaume wanaosuka wote ni mashoga tú
Wadau naomba kuuliza, hivi ni kwanini mwanaume anasuka nywele?
Hivi inakuwaje mwanaume mzima na rijali unaenda saloon za kike na wewe unaweka kichwa mwanamke anakupumulia kisogoni?
Inawezekana hawa jamaa huwa wanavaa hata sidiria! Who knows bwana!
Kama ameweza kusuka nywele aonekane kama mwanamke, inawezekana wanavaa hata chupi za wapenzi wao.
Hivi mwanaume aliyesuka nywele anaweza kumcheka shoga?
Mmmmmmmm! jaaamani kwa mwanaume kusuka inaleta ukakasi kidogo.
Wasiwasi wako hauna ukweli na kabla sijaendelea kuchangia huu uzi, nakuomba wewe na Munkari muwaombe radhi wamasai na makabila mengine ambayo wanaume kusuka na kuvaa hereni ni sehemu ya utamaduni wao.
nini 0715...???
Umeona eeh yaani wanatamani wangezaliwa Wanawake LOL Mungu anusuru vizaz vyetu
nyie mnafanyiwaje wangu?????
Mkuu, kwanza umewahi kumuona mwanaume au mkaka gani hapa Bongo amesuka kwa kutumia Rasta au Kanekalon material kwa style za pick and drop au yeboyebo ya kike kabisa alafu anatembea barabarani au anaingia ofisini kufanya kazi? Hakuna kitu kama hicho mkuu kwani hizo ni style za kike kabisa mkuu wangu...tunachoongelea hapa na ninachokitetea mimi ni hizi style za cornrow hair za kiume...tena kwa kutumia nywele zake za asili.Sijui nini kinawavutia wanaume wasuka nywele labda wenyewe waje watoe ushuhuda. Ila mimi ni kati ya watu ambao kamwe sijawahi kusuka ni sitokaa nisuke nywele kamwe kwa sababu najua kuwa kusuka ni kwa kina dada na wamama na wanafanya hivyo kama sehemu ya urembo - yaani kama kupaka lip stick vile.
Then apologise..Wamasai it is known.....
Kwani aina ya msuko inamatter au ili mradi tu mwanaume amesuka nywele!!?Hawa wengine wanakuja kujtoa ufahamu tu
wanahoji wamasai, kwani wamasai wanasuka twende kilioni?
mfxuuuuuuuuuuu
ndiyo hivyo boss wangu!Ha ha haaa siyo kweli! Kwani wanawake wengi wanaopenda vazi la suluari wana homoni za kiume?
Kwani aina ya msuko inamatter au ili mradi tu mwanaume amesuka nywele!!?
Hapo sasa...naona kwa wenzetu hawa haijalishi ni msuko gani.Kwani aina ya msuko inamatter au ili mradi tu mwanaume amesuka nywele!!?