Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,935
Mzee especially kama huko hapa US.. hiyo ni haki yako kabisa.. hujui ni mara ngapi imenisevu kama kuokolewa na kengele..
:
a. "I plead the Fifth" (ni haki ya kutojichongea kwa mujibu wa katiba ya US.. inadaiwa inatumika pote duniani! LOL) Haki hii ikishaitwa kina dada hamtakiwi kuendelea kulazimisha kupewa majibu.
.
ni kwa hisani tafadhaliMmmh...... "Kwa msaada wa watu wa Marekani" teh teh!!
...aaarrgghh, ukiwa muongo asilia wala hubambwi. Unatuma sms ya 'mama chanja nitachelewa kidogo' dakika chache kabla hujafika nyumbani ku-test 'hali ya hewa!'...halafu ukifika home swali linajibiwa na swali, 'kwani hukupata txt?'
...nini tenaaa? eehh!!!
Unaweza kujikuta umeulizwa swali jepesi tu ambalo halihitaji majibu mengi wala ya kina.
"Mbona umechelewa" swali hilo.
Jibu lake linatakiwa liwe fupi na lisilo na mbwembwe. lakini hapana, mtu ataanza stori na katika hiyo stori atajikuta amefikia mahali pa kuanza kusema mambo ambayo hata hakuulizwa.
"Nikakutana na Jennifer, nilikuambia kuhusu Jennifer"..
Mara anaanza kujichongea.
Kwanini wanaume hatujui wakati wa kukaa kimya na kutumia haki yako ya "kutojichongea"?
Ukiona umeulizwa swali limekaa kimtego sema yafuatayo:
a. "I plead the Fifth" (ni haki ya kutojichongea kwa mujibu wa katiba ya US.. inadaiwa inatumika pote duniani! LOL) Haki hii ikishaitwa kina dada hamtakiwi kuendelea kulazimisha kupewa majibu.
b. Mwambie unatumia haki ya "Miranda" (nayo inadaiwa inatumika pote duniani) kuwa hutaki kusema kitu ambacho kitatumiwa dhidi yako chumbani a.k.a kunyimwa unyumba kwa sababu ya maneno yako.
c. Cheka, halafu mbusu.. likwepe swali kwa muda (kumbuka atakuamsha usiku wa manane kutaka majibu - you better have some).
Vinginevyo, usijichongee isipokuwa kama uko tayari kununiwa the rest of the day na kukumbusha jambo ambalo ulilisema ambalo huna hata chembe ya kumbukumbu nalo!!
Ni ushauri tu.
yaani sms tu halafu unanijia saa 6 ucku nisihoji?
Unaweza kujikuta umeulizwa swali jepesi tu ambalo halihitaji majibu mengi wala ya kina.
"Mbona umechelewa" swali hilo.
c. Cheka, halafu mbusu.. likwepe swali kwa muda (kumbuka atakuamsha usiku wa manane kutaka majibu - you better have some).
Ni ushauri tu.
kweli ute uzima dawa.... senks... jibu la CHEE inaanza kutumika leo leo...!!!:A S shade:
..km umeoa kilaza unaweza ukaplay game ka hii vngnevyo inakuwa ngumu kdg ata km kudanganya utadanganya bt kwa jasho na si kirahisi rahisi km iv.
mmh awa viumbe awa noma yani km watoto vle ukichunguza fresh games zao
poa wajanja nyinyi :shock:
c. Cheka, halafu mbusu.. likwepe swali kwa muda (kumbuka atakuamsha usiku wa manane kutaka majibu - you better have some).