Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Wewe ni kwanini huridhiki na Chakula cha aina moja? Hata ukipewa Chipsi kuku kila siku, ila kwa nini ukiona mtu anakula wali maharage unautamani?
 
Kwa upande wangu ....nalaumu sana wanawake kwa kujirahisi, ujue siku zote practice makes perfect, yan siku hiz sie gentlemen ata tukiwa tunapractice kutongoza tu huyo anaingia mzma mzma akati tunafanya tu mazoez ....mara nyng sana nakula tam kimasihara , mpk najikuta natumika kwa suprise......................please muwe wagumu bas!
 
Mwanamke mmoja kwa kweli hatoshi tuseme ukweli, mmoja kila siku dah siwezi

Ila ikimbie zinaa ni dhambi katika vitabu vitakatifu
 
Unazungumzia walioko kwenye ndo au wale wa boyfriend an girlfriend??? Hii mada Ina mapana na marefu yake sana hasa katika medali ya uchepukaji
 
Back
Top Bottom