Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Swaaaadaktah! Wanajua sema wanajitoa tu ufaham
Kwanza tambua kwamba hutaweza na hutakuja 'kumridhisha' mwanaume ili 'asitamani' mwanamke mwingine, mwanaume anatamani kila siku wanawake wengine na ataendelea kuwatambani hadi pumzi yake ya mwisho, labda kwa hekima na busara alizonazo aamue mwenyewe tu kujiheshimu na 'kutulia', lakini sio kwasababu eti wewe unamridhisha ili asitamani. wengine lakini pia haina maana kwamba 'hakupendi' na pia haina maana kwamba kuwatamani wengine anawapenda, yaani anatamani tu ... hebu tuone kwanini anapenda kutamani.

Wanaume wana hamu, nguvu na mzuka wa kufanya tendo ZAIDI kuliko mwanamke kwasababu miili yao ina hormone zinazowapa nguvu ya kufanya tendo muda wote, saa zote hata ikibidi kila siku, hivyo tambua unapojaribu 'kumridhisha' unashindana na 'nguvu, na mzuka, wa ziada ambao wewe huna.

Kwa mapenzi uliyonayo kwake fanya kile unachoweza kilicho ndani ya uwezo wako, akitaka umridhirishe hutaweza

Pamoja na sababu zingine zinazowatofautisha wanawake na wanaume, wanaume miili yao imeumbwa na imetengenezwa mahsusi kwa kuzalisha 'mbegu' ili zipandwe kwa mwanamke (kwa njjia) iwe mimba na azae kiumbe - mtoto, wakati mwanamke mwili wake ulivyoumbwa ni kwa ajili ya kupokea mbegu kwa njia ya kufanya tendo, mwili wa mwanaume ni kama 'mtambo fulani' hivi wa kuzalisha mbegu.

Kimaumbile sisi wanadamu tunaangukia kweye kundi la wanyama, na kama tujuavyo wanyama pia kuna 'wanyama madume' na 'wanyama majike', Angalia ukitaka kufuga wanyama kama mbuzi, ng'ombe au kuku, unaanza na majike wangapi na madume wangapi? Waulize wafugaji watakuambia kwamba majike yanakuwa wengi zaidi kuliko madume, tazama wafugaji wa kuku wa kienyeji, mbuzi na ng'ombe. Hivyo wanadamu pia kiasili ni 'wanyama', sema wao wamepewa utashi, hekima ya kutafakari kabla ya kutenda. Jogoo anaweza kufanya tendo hapa na jike moja na baada ya nusu saa 'analala' na jike mwingine hapo hapo na yule 'aliyelalwa' mwanzoni anashuhudia, hivyo inadamu naye hana tofauti na jogoo, mbuzi, ng'ombe n,k kwa na yeye mnyama, isipokuwa yeye anatafakari, anapanga kwanza kabla kutenda, anajua baya na zuri.

Wewe leo ukitaka kufuga kuku wa kienyeji utaanza na wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo tulivyo hata usipate tabu kutafuta sababu. It's all about nature, maana yake hatutaweza kubadilika kamwe labda ukajaribu kuwaulizia wa sayari nyingine kama wapo ila hii dunia usipate tabu kubali tu moja bila na mpira umeisha
 
Mwanaume yeyote anayedindisha hawezi kuridhishwa na mwanamke mmoja hata afanye nini, hata awe mzuri vipi



"Not everything is for everybody"
 
Tunachepuka kwa sababu tuna korodani inayozalisha testosterone mara ishirini zaidi ya ovary ya mwanamke.
Kwenye kende kuna chembe hai ziitwazo “interstial cells of Leydig ambazo zina pump inayoitwa testosterone pump. Hii pump ndiyo inayowasumbua wanaume.

Mwanamke akichomwa testosterone akafikia concentration kama ya mwanaume kwenye damu yake anawehuka na kuanza kuvua nguo ovyo na kuonesha sehemu zake za siri ovyo.( Manic)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tunachepuka kwa sababu tuna korodani inayozalisha testosterone mara ishirini zaidi ya ovary ya mwanamke.
Kwenye kende kuna chembe hai ziitwazo “interstial cells of Leydig ambazo zina pump inayoitwa testosterone pump. Hii pump ndiyo inayowasumbua wanaume.

Mwanamke akichomwa testosterone akafikia concentration kama ya mwanaume kwenye damu yake anawehuka na kuanza kuvua nguo ovyo na kuonesha sehemu zake za siri ovyo.( Manic)


Sent from my iPhone using JamiiForums
Bora umewaambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom