usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Ushampata au bado
stidy
Ushampata au bado
Wengine hata msosi mzuri unaweza kusababisha kuhamishia majeshi hata kama una sura ya mjomba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa dsm mtakua Lin??
stidy
Tafuta kitabu kinaitwa 'Fungate la Milele', kina majibu ya maswali yote kuhusu haya, ukikikosa njoo inbox, tutapanga
Hadi pale corona itapoisha ndo tutakuaWanaume wa dsm mtakua Lin??
stidy
Vinginevyo asiwe na elaMwanaume yeyote anayedindisha hawezi kuridhishwa na mwanamke mmoja hata afanye nini, hata awe mzuri vipi
"Not everything is for everybody"
GibberishNdivyo tulivyo hata usipate tabu kutafuta sababu. It's all about nature, maana yake hatutaweza kubadilika kamwe labda ukajaribu kuwaulizia wa sayari nyingine kama wapo ila hii dunia usipate tabu kubali tu moja bila na mpira umeisha
Wewe ni mhanga boss?