Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Kwanini wanaume wanachepuka sana?


Tunachepuka kwa sababu tuna korodani inayozalisha testosterone mara ishirini zaidi ya ovary ya mwanamke.
Kwenye kende kuna chembe hai ziitwazo “interstial cells of Leydig ambazo zina pump inayoitwa testosterone pump. Hii pump ndiyo inayowasumbua wanaume.

Mwanamke akichomwa testosterone akafikia concentration kama ya mwanaume kwenye damu yake anawehuka na kuanza kuvua nguo ovyo na kuonesha sehemu zake za siri ovyo.( Manic)


Sent from my iPhone using JamiiForums

Haswaaaa...! Uzi ufungwe kesi imeisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
She is typing.......................

Nadhani njia kuu ina makorongo na pia inahitaji ukarabati kila siku.
 
Sababu huwa hatutoki nazo nyumbani ila ukimuona tu manzi sababu inapatikana hapo hapo kwa hiyo wakati mwingine msitulaumu wakati miili yenu imejaza sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm mwanamke akijua kupika
Vizur na tabia tamu bas
Sinaga mda wa kumcheat

stidy
 
Back
Top Bottom