Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Kwanini wanaume wanachepuka sana?

Wahusika husema kwamba "mwanamke ni kama pesa, kadri unavyozidi kupata peaa ndivyo unavyozidi kuweka mikakati yakutengeneza/kupata hela zaidi"

By the way, jambo la msingi na ambalo hutofautisha watu ni namna gani mtu anatumia pesa(mwanamke wake) yake na namna gani mtu anaridhika na pesa(mwanamke wake) yake
 
Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini?

Hebu leo mtujuze.
Hivi hao wanaume wanachepuka peke yao au na wanawake?
Sema kwanini siku watu wanacheat sana, au kwanini, watu wamezidi kuwa wazinzi
 
Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini?

Hebu leo mtujuze.
Nakupa siri sasa uende ukawaambie wanawake wenzako....Mwanamme anachepuka kwa uzembe wa mwanamke wake mwenyewe,hivi kuna mwanamme ataenda nje kama ukiwa unampeapea na kumpetipeti? Wanawake kutoa mzigo wanataka mpaka mwanamme awaombe ndio wanampea,inabidi wachukulie kutoa mzigo kama chakula kwa mwanamme ukishindwa kumpa chakula ataenda kula nje.
 
Hakuna kitu kama hicho bali ni tabia kama tabia nyingine, mbona wengi wakibambwa na hao wakiambiwa endelea na huyo huyo wanagoma kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa penyewe nataka kuchepuka nimecheka michepuko yangu miwili mmoja umedai sikuupanga toka Jana so leo Kuna sehem anafanya kazi.... Mwingine yupo bleed...... Hapa natafuta network bado sijajua nachepuka na nani.....? Kama Kuna mtu humu ni manzi alafu ni sexy holic wakati wake ni sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini?

Hebu leo mtujuze.
...Unaweza ukawa na mvuto wa sura, hips, tako, nyonyo za maana, sauti nzuri ila kitandani ukawa hovyo....
Na bahati mbaya wanawake wote wazuri, kitandani huwa wako hovyo....hawajitumi...

Kuna wale wanawake Wenye sura zao za kawaida, he he hee.....wanajua kubinuka hao mapaka shetani anashangaa..
 
Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini?

Hebu leo mtujuze.
My wife is very cute and beautiful lakini huwa nachepuka mpaka nabaki nacheka tu mwenyewe,hakuna tunachotaka zaid ya kuchakata uchi tu dada [emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom