hata trafiic anaaangalia plate numberUzuri wa gari body.sio engine
Ila msambwanda ukiwa ndani ya dera, ni naona huwa ndio unanoga zaidi.
Maana humo ndani huwa ni kweupe, wakijitahidi sana, bikini tu!
However, sio kila mtu anayevutiwa na hilo
wapo wanaochanganywa na reception, na kama amebarikiwa rangi, kazi kwisha!