Kwanini wanaume hupenda kuangalia makalio?

Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada kakatisha lizima ugeuke.

Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.
unaonekana una matako makubwa sana ww
 
Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada kakatisha lizima ugeuke.

Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.
We una umri gani? Tuanzie hapo kwanza, pili ikiwa unaishi na mwanaume ulishindwaje kumuuliza yeye?
 
Mimi huwa nashangaa jinsi watumiavyo kufikiri na kulinganisha ukubwa wa matako na akili ya mtu husika ila hadi leo sijaona mwenye uwiano mzuri kati ya matako na akili ndo maana naendelea kugeuka nyuma kila apitapo mdada.
NB. wanaume hugeuka kucheki matako ya mwanamke endapo tu watakuwa wamedharau yaani wamemwma bure kabisa yaani hakuna mke/demu/mama pale
 
Kuna jamaa alisema mwanaume hata umpe madem ote wa jf bado atatamani wa fb nadhani ni hali tu inatokea
Hivi jf kuna wanawake wazuri?[emoji15] au Avatar zao kimanchichi tu[emoji14] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wakibosho na wamachame hapa mtuwie radhi tu kwa kweli maana hamna namna. Nyumba choo.
 
Hivi jf kuna wanawake wazuri?[emoji15] au Avatar zao kimanchichi tu[emoji14] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hivyo hivyo mkuu siunaona wanaitana beibe au kwavile huna ndio huamini labda
 
Kila siku najuliza sijui makalio yana uhusiano gani na macho utamkuta mtu yupo na mkewe nae anatako kubwa tu ila kakipita kabinti kengine kana kijikalio mtu lizima ageuke upo kwenye daladala mdada kakatisha lizima ugeuke.

Naombeni kujua uhusiano kati ya makalio na macho.
Ni kama uji na mgonjwa.
 
Itabidi huu mswada upelekwe bungeni ujadiliwe, na ikiwezekana wapitishe sheria kabisa
 
Back
Top Bottom