Khaaa! Yaani wanaume nyie mmhh.Uliona wapi jogoo katulia???[emoji30]........ni nature,kazi ya madume ya viumbe wote ni kupanda majike mengi as many as possible so as to ensure generation will not vanish from the earth!
Sasa mkuu na ya baharini yakikuchosha jee?Maji ya bafun nayo
Yana chosha so once once
Tunaogea baharn kunadili
Kidogo hali ya hewa
Hii ndio sababu.Zaidi inasababishwa na suala zima la kutoridhishana kimapenzi,
Mnaanza majanga mkishawekwa ndani. Wale wengine hawana majanga maana wanajua hatuwaoi. Ila naona nanyi wanawake hamjielewi eti mwanamke anaridhika kuwa na mume wa mtu!Hadi umeamua kuoaa hayo majanga hayaonekani
Ukute huyu ndio mumeo,Khaaa! Yaani wanaume nyie mmhh.
HV ujui kwan mwanaume karuhusiwa kuwa na wake zaidi ya mmoja lakin si mwanamkeNa pia tumia neno "baadhi" kuna wanaume wengine wana heshima zao na akitulia na mkewe ametulia kweli...mifano iko mingi hata humu jamii.forum hata leo nmesoma thread moja ya mwanaume alietulia na mkewe licha ya upside downs lakin mwnanaume kasimama nae mwanzo mwisho.
Hao wa macho.hayana pazia ni tabia yake binafs..tabia ya mtu binafsi ya kufungua zipu kwa kila mwnaamke sio ya wote ni yake binafsi. Ndio kaamua kua hivo, ndio maisha yake. There are still good women and men out there.
Hahahaaa! Sitakuwa na shida naye si kaamua kueleza ya moyoni mwake utamzuiaje sasa?Ukute huyu ndio mumeo,
Na hapa kila mtu anatumia fske id
Shida ni kwenye 6*6 wewe unakua haupo hapo so hujui kinachoendelea. Wengi wakishaolewa hawataki kujisumbua. Kukupa mpaka ajisikie yeye. Visingizio kibao.Ameejaliwa kupata mwenye sura na shepu tena sii hivyo na tabia nzuri...Lakini bado kutosheka ... Nini tatizo
faraja ya nini tena ... [emoji126] [emoji126]Et bibie hutak faraja kwel
Naww mbea [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaha....hilo ndio jibu..mana sio kwa thread hizi za mausiku manenee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Halafu kuna namba yake ya simu somewhere kapost.hebu nenda kamfariji jirani....
Kama mumeo kapiga mechi ya kimataifa halaf umejua omba mungu asiwe kanogewa huko utapata tabu kwnda kujiangalia kwny kioo halaf ukasema una shape nzuri haisaidii kitukuvurugwa kwa mapnzi zama hizi n kawaida ... Ukigundua kazi ya halali ya moyo bas inabdi utulize akili...
[emoji12] [emoji1] mumeo hajambo?Nafsi za wanaume huwa hazikinai
Acha umbea [emoji2] [emoji2] [emoji2] Uhuru wa mwanamke lazima uheshimiwe[emoji12] [emoji1] mumeo hajambo?
Nlidhani umekatazwa kurudi tena humu
Kama unalijua hilo basi naww heshimu uhuru wetu wa kumwaga seraAcha umbea [emoji2] [emoji2] [emoji2] Uhuru wa mwanamke lazima uheshimiwe
[emoji4] [emoji4] [emoji4] haya bwana Mimi sitaki maneno maneno,yamekwishaKama unalijua hilo basi naww heshimu uhuru wetu wa kumwaga sera