ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,577
- 44,818
Mkuu usimuamshe mwache alale ili akutane na MW.JKN.Siyo kweli wanaosomea Ualimu kwa sasa ni waliopata ufaulu wa Division 4. Kuanzia mwaka 2014 hadi sasa, sifa za kujiunga na mafunzo ya Ualimu ni Division 1-3.
Basi inawezekana taifa linaongozwa na watu waliofail kwa kuwa wote walikuwa walimu. May be, may be notLife is chained haohao wanopata four haohao ndio wanaotoa maraisi,wapharmacia ,madaktari wanahitaji kuheshimiwa sana watu muhimu sana wanaweza kuandaa taifa LA wajinga ndani ya muda mfupi na matokeo mkayaona kwa macho yenu na wala sio miujiza
Ili msomeshwe ujinga.Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.
Je, yeye mwenyewe uwezo wake binafsi una fit kweli kuwapatia watoto wenu taaluma.
Kwa nilivyofikiria nimeona serikali inafanya hivyo kwa Kuwa wanaofaulu bado ni wachache so wanalazimisha ili mradi walimu wapatikane watoshe.
Nataka kujua kwa nchi nyingine Kama Kenya,Ghana,SA, India,Pakistan n.k utaratibu wao vigezo vya Kusomea vyuo vya ualimu vipoje?
yaani wewe unashangaza unaacha kushangaa watunga sheria za nchi kuwa na sifa ya kujua kusoma na kuandika pekee wewe una washangaa hao walifika hata kidato cha nne!?Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.
Je, yeye mwenyewe uwezo wake binafsi una fit kweli kuwapatia watoto wenu taaluma.
Kwa nilivyofikiria nimeona serikali inafanya hivyo kwa Kuwa wanaofaulu bado ni wachache so wanalazimisha ili mradi walimu wapatikane watoshe.
Nataka kujua kwa nchi nyingine Kama Kenya,Ghana,SA, India,Pakistan n.k utaratibu wao vigezo vya Kusomea vyuo vya ualimu vipoje?
Mashaallah! Hili ndio jibu sahihi kuliko majibu yote!Ili msomeshwe ujinga.
Tanzania hii ya Magu,hahahahah labda kama mtu anapenda ualimu,lakini one akasome ualimu neverKwasasa fani ya ualimu ndio inayochukua watu walifaulu kuliko fani zingine zote bila kuwa na dvn 1_3 huwezi kwenda kusomea ualimu usiendeleee kulalaa usingizi mzito hivyo
Sio lazima mzee, wapo waliotusua vizuri tu, watu wanatafuta pakutokeaMimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.