Kwanini wanaopata ufaulu mdogo ndio wanaokuwa walimu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,074
42,852
Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.

Je, yeye mwenyewe uwezo wake binafsi una fit kweli kuwapatia watoto wenu taaluma.

Kwa nilivyofikiria nimeona serikali inafanya hivyo kwa Kuwa wanaofaulu bado ni wachache so wanalazimisha ili mradi walimu wapatikane watoshe.

Nataka kujua kwa nchi nyingine Kama Kenya,Ghana,SA, India,Pakistan n.k utaratibu wao vigezo vya Kusomea vyuo vya ualimu vipoje?
 
Life is chained haohao wanopata four haohao ndio wanaotoa maraisi,wapharmacia ,madaktari wanahitaji kuheshimiwa sana watu muhimu sana wanaweza kuandaa taifa LA wajinga ndani ya muda mfupi na matokeo mkayaona kwa macho yenu na wala sio miujiza
 
Jibu rahisi watoto wa madon ni mazwazwa huandaa mazingira mapema.

Watoto wa masikini hawana connection

KUNA LINGINE?
 
Life is chained haohao wanopata four haohao ndio wanaotoa maraisi,wapharmacia ,madaktari wanahitaji kuheshimiwa sana watu muhimu sana wanaweza kuandaa taifa LA wajinga ndani ya muda mfupi na matokeo mkayaona kwa macho yenu na wala sio miujiza
Basi inawezekana taifa linaongozwa na watu waliofail kwa kuwa wote walikuwa walimu. May be, may be not
 
Mfumo wetu wa elimu ume base kwenye kukariri mno kuliko kuelewa ,kwa hiyo sidhani kama ni vyema kumjaji mwalimu wa ki Tanzania kwa ufaulu wa elimu ya sekondari.Pia tambua ualimu ni zaidi ya vyeti na matokeo mazuri.Inahitaji passion,utayari ,ubunifu,ushawishi na uwezo wa kusoma saikolojia za wanafunzi yote haya inasaidia flow yako ya material darasani ili kuhakikisha kila mwanafunzi anaelewa pasipo kujali tofauti zitakazo jotokeza baina ya wanafunzi katika darasa lako,huo ndio ualimu.Ila kitanzania bado walimu wengi hawaitendei haki taaluma yao bali wanafundisha kwa mazoea.
 
Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.

Je, yeye mwenyewe uwezo wake binafsi una fit kweli kuwapatia watoto wenu taaluma.

Kwa nilivyofikiria nimeona serikali inafanya hivyo kwa Kuwa wanaofaulu bado ni wachache so wanalazimisha ili mradi walimu wapatikane watoshe.

Nataka kujua kwa nchi nyingine Kama Kenya,Ghana,SA, India,Pakistan n.k utaratibu wao vigezo vya Kusomea vyuo vya ualimu vipoje?
Ili msomeshwe ujinga.
 
Wewe itakuwa maswala ya Elimu Uko mbali nayo mkuuu, siku hizi Bila 3 division upati Ualimu in government colleges .
 
Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.

Je, yeye mwenyewe uwezo wake binafsi una fit kweli kuwapatia watoto wenu taaluma.

Kwa nilivyofikiria nimeona serikali inafanya hivyo kwa Kuwa wanaofaulu bado ni wachache so wanalazimisha ili mradi walimu wapatikane watoshe.

Nataka kujua kwa nchi nyingine Kama Kenya,Ghana,SA, India,Pakistan n.k utaratibu wao vigezo vya Kusomea vyuo vya ualimu vipoje?
yaani wewe unashangaza unaacha kushangaa watunga sheria za nchi kuwa na sifa ya kujua kusoma na kuandika pekee wewe una washangaa hao walifika hata kidato cha nne!?
 
si kweli usemacho ninachoweza sema mimi ni kuwa watu hupenda kusoma katika course wazipendazo yani hata kama mtu ana daraja la kwanza ila kama anapenda ualimu atakwenda kusomea ualimu na pia iko hivi hakuna course isiyokuwa na wapenzi iwe na uwanja mpana wa ajira au isiwe watu hufanya machaguo wayapendayo
 
Kwasasa fani ya ualimu ndio inayochukua watu walifaulu kuliko fani zingine zote bila kuwa na dvn 1_3 huwezi kwenda kusomea ualimu usiendeleee kulalaa usingizi mzito hivyo
 
Tanzania hii ya Magu,hahahahah labda kama mtu anapenda ualimu,lakini one akasome ualimu never
 
Naona unachanganya mambo unaweza wa kupata A na kumfundisha mtu n vitu viwili tofauti usiwahaminishe watu kwa waliofanya vizuri zaid ndo wawe walimu la hasha, ualimu n tofauti na udaktari wenyewe unahitaji uwezo wa kupambanua mambo tu na sio kumeza newton laws
 
Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.

Je, yeye mwenyewe uwezo wake binafsi una fit kweli kuwapatia watoto wenu taaluma.

Kwa nilivyofikiria nimeona serikali inafanya hivyo kwa Kuwa wanaofaulu bado ni wachache so wanalazimisha ili mradi walimu wapatikane watoshe.

Nataka kujua kwa nchi nyingine Kama Kenya,Ghana,SA, India,Pakistan n.k utaratibu wao vigezo vya Kusomea vyuo vya ualimu vipoje?
Sio lazima mzee, wapo waliotusua vizuri tu, watu wanatafuta pakutokea
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom