Acha dharau bana hiyo kazi ni nyepesi mno, kama wanawake wanafuzu mwanaume atashindwa nini?Alikuona uko legelege kule siyo lelemama mpaka ufikie kuvaa hilo gwanda lao lazima jasho la damu likutoke.
Umemaliza , let the topic be closed[emoji3070]unachopaswa kujua ni 5% ya wanajeshi au pungufu wenye uwezo wa kumuingiza ndugu hata JKT.... (WACHACHE WATANIELEWA HAPA)
hii dunia hiiPia Kuna mzee mmoja alikuwa doctor.......chaajabu mtoto wake alipofaulu.......alimkataza kusomea udoctor ...... inawezekana huwa there is reason behind
Muulize Ger. Mabeyo anastaafu akimwacha bint yake akiwa na Rank gani? Siyo huyo tu Ger. Musuguli akimwacha kijana wake pilot ndege za kijeshi (siyo ndege vita). Na wengine na wengine. (Naweza wataja)Ukifuatilia wanajeshi wengi utakuta hawapo tayari watu wanaowapenda wafuate nyayo zao. Wanajeshi wengi utakuta mtu analalamikiwa na wanafamilia wake kwamba hatumii nafasi aliyopata kuwezesha wengine kuingia jeshini.
Utaona wanajeshi wengi wanalalamikiwa kutotumia nafasi walizonazo kusaidia watu wao wa karibu kujiunga jeshi... badala yake utakuta mtu kajaza mashemeji na ndugu wengine wengine wa upande wa mkewe tu
Wapo ambao wanaweka wazi kabisa kuwa hayupo tayari kuingiza ndugu yake Jeshini lakini wengi wao ni kimya kimya tu anakukaushia na hata kama ukitaka basi hakuzuii ila anakuacha upambane mwenyewe kuipata nafasi hiyo
Enzi za operesheni ya kwa Amin Serikali ilikuwa ikichukua mtu mmoja tu katika familia hata kama familia ina askari sita na sababu ilikuwa ni kwamba waliangalia endapo ikitokea swala la kifo basi familia zisije kukosa wapendwa wao kwa mpigo... sasa
Je na wanajeshi hiki ndicho wanachozingatia au kuna sababu nyingine?
Tena huyo binti akiwa NS alikuwa Kama siyo mtoto wa moja ya viongozi wakubwa chomboni.Muulize Ger. Mabeyo anastaafu akimwacha bint yake akiwa na Rank gani? Siyo huyo tu Ger. Musuguli akimwacha kijana wake pilot ndege za kijeshi (siyo ndege vita). Na wengine na wengine. (Naweza wataja)
Baba yake alimpa uhuru wa kuwa anachotaka, unfortunately hakuwa interested na hiyo "kampuni ya mkonge.."Kuna kitu Wakubwa wanajua kuhusu Jeshi ambacho sio kizuri. Ridhiwani kapita Jeshini?
Usifanye comparison ya namna hiyo mahali popote..Acha dharau bana hiyo kazi ni nyepesi mno, kama wanawake wanafuzu mwanaume atashindwa nini?