Kwanini wamama mnatutesa vijana?

Watu wazima wameamua kuishi maisha yao na wewe fanya maisha yako.
 
mnashangaa miaka 28 kwa 34 hahaaaa hamshangai madingi wanaokula vitoto vya under 20 na yenyewe yanazaidi ya 70 , hii ni kwa jinsia zote watu wanapenda kula walivyovizidi umri , kwa la mimama kupenda watoto hiyo ni hulka maana watoto hawana majukumu wala stress wanasimamia show kisawasawa akitoka hapo hoi, na kama mdau mmoja alivyosema kwakua wao ndio ma spponsor wanawaamuru hao madogo kufanya lolote including kuwanyonya visamvu jambo ambalo kwa mtu conscious hawezi kufanya asilani
 
Rika zetu mmetuchosha sasa mtu unamtongoza leo tu mda huohuo anakuwa yatima , kule kwa mijimama hataki hata vocha yako yani ww ni kukaza kiuno tu na vihela vyetu vinatunzika safi kabisa.
 
Tatizo liko wapi mkuu...

Wanabanduliwa wao, na wewe kama unataka fanya..

Dunia ya leo ngumu ku Judge mtu kwa analofanya...
 
Back
Top Bottom