Kwanini wamama mnatutesa vijana?

Kwanini wamama mnatutesa vijana?

On Duty

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
566
Reaction score
1,084
Habarini ndugu zangu.

Leo nimeamua kuja na hoja kama title yenyewe inavyoonesha.

Nimekuwa nikiishi na vijana wengi sana ambao umri wao hauzid miaka 28.

Lakini cha kushangaza kuna wamama ambao umri wao ni above 34 na wamekuwa wakiwaganda sana vijana wadogo kama hao.

Hakika wamekuwa wakiona fashion kutoka na vijana na isitoshe wamama wanalipia guests ili kulala nao tena wengi wao ni wanafunzi.

Je, mnadhani ni kitu gani kinawasukuma hawa wamama kufanya hivyo maana ishakuwa kero sasa na isitoshe wamama wenyewe watu wa kupombeka tu.

Na nyie vijana why mnakuwa walain kiasi hicho?

You have to change.
 
Tamaa za hela na kutaka kulelewa ndo vinawaponza hao vijana.
Hawataki kuhangaika kufanya kazi wanatafuta slope kwa hao majimama
 
Back
Top Bottom