Kwanini wamama mnatutesa vijana?

Kwanini wamama mnatutesa vijana?

Rubbish

Wapi tulikaa vijana tukakubaliana kuwa tunateswa mpaka uongelee nafsi zetu.

Jimama linanitoa pesa za kuishi mjini then unaleta ujinga unataka nife njaa
 
Habarin ndugu zangu.

Leo nimeamua kuja na hoja Kama title yenyewe inavyoonesha.

Nimekuwa nikiishi na vijana wengi Sana ambao umri wao hauzid miaka 28.

Lakini cha kushangaza Kuna wamama ambao umri wao ni above 34 na wamekuwa wakiwaganda Sana vijana wadogo Kama hao.

Hakika wamekuwa wakiona fashion kutoka na vijana na isitoshe wamama wanalipia guests ili kulala nao Tena wengi wao ni wanafunzi.

Je,mnadhan ni kitu gan kinawasukuma hawa wamama kufanya hivyo maana ishakuwa kero Sasa na isitoshe wamama wenyewe watu wa kupombeka tu.

Na nyie vijana why mnakuwa walain kiasi hicho?

You have to change.
... leo 08/03 ni siku yao na shughuli inafanyika pale Mlimani City - Dar es Salaam. Nenda pale ukahoji utapata majibu mujarabu kuliko hapa JF.
 
Wanataka kukufunzeni ufundi tena mnalalama mkinyima mnalia sasa lipi jema wawafanyie ninyi vijana? [ mengi magonjwa msione tu mteremko mkaona mnafaidi 😁 😁 😁 ]
 
Huu ni uongo. Mbona mi sina hayo majimama?
 
umri wa kuwa mtu mzima unaanzia miaka 18. hao wote ni watu wazima sijui kipi kinakushangaza.... wangekuwa wanatembea na watoto sawa ila hao ni watu wazima. acha wivu.
 
Acha uongo wewe. Ni sawa na yule anayedanganya wanawake wapo wengi duniani wakati mm similiki hata mmoja.
 

Attachments

  • hr kj.jpg
    hr kj.jpg
    43.3 KB · Views: 20
  • ace-married-to-old-woman-4.jpg
    ace-married-to-old-woman-4.jpg
    16.8 KB · Views: 19
Rubbish

Wapi tulikaa vijana tukakubaliana kuwa tunateswa mpaka uongelee nafsi zetu.

Jimama linanitoa pesa za kuishi mjini then unaleta ujinga unataka nife njaa
Bora utafute bwana kabisa alete posa uwekwe ndani uwe unakaangiza tu
 
Bora utafute bwana kabisa alete posa uwekwe ndani uwe unakaangiza tu
Bwana na Jimama wana uhusiano gani unafosi kuwa na Point Au huyo bwana nutamgonga Kama navyomgonja jimama kama itakuwa hivyo njoo.
 
Acha kutuingilia kwenye mambo yetu

Nina moja hilo ni single maza linanipenda balaa kuliko hata demu wangu na lina wivu hilo halina mizinga outing mpaka guest linalipa halijawahi niomba hela

Uzuri na mimi ninazo pesa siku moja nalipia mitoko yaani nilifundi balaa nafanyiwa kila utundu lina mpapuchi umetuna umenona yaani nashindwa kumuacha hilo jimama


Yaani yabarikiwe kwakweli
 
Back
Top Bottom