Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Nimejaribu kupitia orodha ya watu waliokamatwa hadi sasa kutokana na tuhuma za kuuza au kutumia madawa ya kulevya, nimegundua kuwa wengi walikuwa mstari wa mbele kukipigia debe chama chetu kiingie madarakani.
Je, wengi wao walikuwa wanatafuta namna ya kulinda biashara zao hasa hii ya madawa ya kulevya?
Poleni sana wasanii wetu wa mziki, maigizo, vichekesho,
Pia poleni sana wapambe na makada wote m operation naoguswa na hii.