Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA

rodrigaz

Senior Member
Jan 4, 2015
183
176
Habarini ndugu zangu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kwa mtu yeyote anayejua namna ya kufanya biashara Amazon naomba anipe muongozo kwani natamani sana kufanya biashara ya namna hii. Nimejaribu kuifatilia jinsi inavyofanyika na nimegundua yafuatayo.

1. Sio lazima uishi huko majuu.
2. Unaweza kufungua account popote duniani ukiwa na computer yako na internet coverage ukafanya.
3. Ni salama na rahisi.

Namna inavyofanyika
1. Tengeneza sellers account
2. Tafuta bidhaa unayotaka kuuza kutoka kwa msambaziji
3. Itume kenda kwenye godauni zao, hapo watakuhifadhia na kukusaidia kufunga na kumpelekea mteja pindi atakaponunua.[storage unalipia kwa mwezi]
4. Weka orodha yako safi kwenye account yako ya mauzo ya Amazon. Panga bei, subiri mteja.

Changamoto niliyokutana nayo
1. Jinsi ya kufungua account ya muuzaji, hapa napata changamoto kwenye anuani nayotumia ya hapa bongo kwani wanataka verification ambapo watakutumia post card ili kuthibitisha makazi yako. Nimejaribu sana kuwaeleza kuwa anuani ni sahihi lakini kila mara naambiwa address verification failed due to invalid address.
Kama kuna anayejua namna ya kufanya naomba anisaidie ili niweze kuiwezesha account yangu.

2. Nikijaribu kutumia address ya mtu mwingine aliyeko nje, napata shida kwenye bank account details. Wananitaka kuweka bank za kwao. Binafsi sina. Bank za huku zinakuwa not supported.

Kwa yeyote anayejua, naomba msaada tafadhali. Karibuni
 
Nimefanya kazi na amazon (french site), CS agent. Kwa policy za Amazon inabidi uwe umejipanga kweli kweli, maana wao ni customer satisfaction oriented so anything fishy with the product or shipping /delivery it will costs you. I'm not scaring you but 90% of the time 3tier Marketplace Sellers used to complain incurring loss. Nadhani ndio maana amazon hawana site operating in Africa as in EU and US because of nature of their policies and our level of development.
 
Hapo mtaani kwenu bado anuani za makazi hazijafika.?', kama bado subiri, nadhani zoezi ndo nilinafanyika mitaani sasa
 
IMG_1021.jpg

Tazama hapa navyojibiwa.
 
Habarini ndugu zangu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kwa mtu yeyote anayejua namna ya kufanya biashara Amazon naomba anipe muongozo kwani natamani sana kufanya biashara ya namna hii. Nimejaribu kuifatilia jinsi inavyofanyika na nimegundua yafuatayo.

1. Sio lazima uishi huko majuu.
2. Unaweza kufungua account popote duniani ukiwa na computer yako na internet coverage ukafanya.
3. Ni salama na rahisi.

Namna inavyofanyika
1. Tengeneza sellers account
2. Tafuta bidhaa unayotaka kuuza kutoka kwa msambaziji
3. Itume kenda kwenye godauni zao, hapo watakuhifadhia na kukusaidia kufunga na kumpelekea mteja pindi atakaponunua.[storage unalipia kwa mwezi]
4. Weka orodha yako safi kwenye account yako ya mauzo ya Amazon. Panga bei, subiri mteja.

Changamoto niliyokutana nayo
1. Jinsi ya kufungua account ya muuzaji, hapa napata changamoto kwenye anuani nayotumia ya hapa bongo kwani wanataka verification ambapo watakutumia post card ili kuthibitisha makazi yako. Nimejaribu sana kuwaeleza kuwa anuani ni sahihi lakini kila mara naambiwa address verification failed due to invalid address.
Kama kuna anayejua namna ya kufanya naomba anisaidie ili niweze kuiwezesha account yangu.

2. Nikijaribu kutumia address ya mtu mwingine aliyeko nje, napata shida kwenye bank account details. Wananitaka kuweka bank za kwao. Binafsi sina. Bank za huku zinakuwa not supported.

Kwa yeyote anayejua, naomba msaada tafadhali. Karibuni
Mimi nafahamu ya etsy nmekuwa nikiifanya on and off kwa miaka kama mitano sasa.
Naona wa west wako sana huko.
Niliwahi pata order kubwa ya nguo za vitenge zilikuwa na thamani ya $14000 ila supplier wangu a.k.a mshonaji akanilet down baada ya kunogewa na show ya fiesta na mziki kuanza kumlipa
 
Etsy ninini,nmekua inspired na hii
 
Mmh hii niliishiaga kuitamani tu ,mwisho wa siku niliambiwa Haiwezekani kwa Tz hata ukifoji data bado lazima ukamatike mahali
 
Mimi nafahamu ya etsy nmekuwa nikiifanya on and off kwa miaka kama mitano sasa.
Naona wa west wako sana huko.
Niliwahi pata order kubwa ya nguo za vitenge zilikuwa na thamani ya $14000 ila supplier wangu a.k.a mshonaji akanilet down baada ya kunogewa na show ya fiesta na mziki kuanza kumlipa

Habari, ikiwa ulifanikiwa kufanya biashara ya etsy, naomba muongozo ili nipate pa kuanzia kufanya biashara hiyo. Sio lazima wote tujazane Amazon ikiwa kuna mbadala
 
Mimi nafahamu ya etsy nmekuwa nikiifanya on and off kwa miaka kama mitano sasa.
Naona wa west wako sana huko.
Niliwahi pata order kubwa ya nguo za vitenge zilikuwa na thamani ya $14000 ila supplier wangu a.k.a mshonaji akanilet down baada ya kunogewa na show ya fiesta na mziki kuanza kumlipa
Nimekuwa nikutafuta mtu mwenye experience na etsy, naomba nikuombe maarifa ya huko etsy
 
Kuna kampuni (website) wanakuwezesha kufungua kampuni us hivyo kuweza kupata bank account na address lakini wanakutoza $$300-$500.

Ukifuatilia mda mrefu unaweza pata njia zingine .

Mimi kuna kitu nilikua nauza na hichi kitu wanarusiwa kufanya wa US na EU tu,Lakini nilitafuta njia hadi nilipata nikafanya mwezi mmoja nikapata $3700 badae nikaacha maana sikujiandaa vizuri najipanga next year nifanye
 
Mkuu Hapa Unazungumzia M 7+
 
Website gani mkuu, na baada ya kuifungua hiyo account unaitumia vipi ikiwa huna physical access ya moja kwa moja? Ukipatwa shida kwenye hyo account nani anashughulikia ikiwa wewe upo huku, hebu tiririka na sisi tupate pakuanzia?
 
Back
Top Bottom