Kwanini wale Albino wahukumiwe leo since 2008?

Kwanini wale Albino wahukumiwe leo since 2008?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,891
Tuwe wakweli wapendwa tusipige tukelele za ooh wauwaji wa albino
Kuna wauwaji wakubwa wako kwenye mahakama!! Hawa ndio walioleta ongezeko la haya mauwaji!! Samahani kama ni jaji! Najiuliza jaji mkuu. Kwanini leo mtangaze hukumu ya mauwaji kwa wauwaji wa albino since 2008, kwanini msianze kunyonga waliokuwa wapelelezi wa hii kesi kwanza!! Hawa wamekuwa wakila hela za matajiri huku wakidai uchunguzi unaendelea hata jaji mkuu unajua hilo hakuna kuficha

Why rais akutane na maalbino ndio mnatangaza jajiment za kihuni mnahisi watanzania wote ni mabwege!! Jajin mkuu hawa wanaochelewesha kesi za albino anza kunyonga hawa kwanza!! Mi ningekuwa hakimu ningetangaza na kifo kwa waliokuwa wachunguzi wa hii kesi!!!

Nenda mahakama kuu! Nendaa mahakama za kazi wanacheza na mifuko ya watu easy ati uchunguzi haujakamalika, unakamalika lini!! So mazoea yale yanafanywa hata kwa mambo muhimu kama haya kuua albino!! Nasema nyongeni mpelelezi anaechelewesha kesi za albino muone majaji watakovyo hukumu haraka
 
nikisema hakuna dhamira ya dhati ya kukomesha haya mauaji toka serikalini watu wananiona muongo. huwez kuendesha kesi sensitive namna hii kwa miaka 8 alafu ukaniambia uko serious!
 
Kamanda Pdidy serikali watu wake ndio wahusika 80% ya muaji ya maalbino, unategemea ni kitakokea baadaye. ni maingizo tu kama ya mapango huko ambon tanga.
 
Last edited by a moderator:
Kama wasanii wa bongo fleva wanavyojua muda sahihi wa kutoa wimbo mpya ndivyo serikali hii ya kisanii anavyojua kuzusha jambo ili kuwapoza au kuwapoteza wahanga wa janga lolote,ni usanii mpaka kwenye utendaji nyambafu zao kwa mwendo manyang'au yataendelea kuwaweka roho juu ndugu zetu albino.
 
Ni kwa sababu kesi lazima ichunguzwe kwa kina asa asa kwa ukumu ya kifo upaswi kukurupuka.
 
"nafikiri watanzania wenzangu nchi ss inahitaji kiongozi dikteta ili inyooke,,albino wahusika wamekuwa wakifichwa lutajwa tena cha ajabu ni viongozi wakubwa serikalini....inauma sana mkuu
 
CCM ni washirikina, pamoja ya kutumia viungo vya albino lakini CHADEMA iliwapiga chini hapo hapo Mwanza
 
kulingana na maelezo ya jaji ni kwamba hiyo kes among other cases za geita zimechelewa kuisha coz geita hamna high court so mpaka wasubir high court secission ya judges frm mwanza kwenda kusikiliza kes geita. pia hiyo ked imepitia mikononi mwa judges weng kutokana na kuhamishwahamishwa so kila jaji anaekutana na hiyo kes before hajaanza kuisikiliza inamchukua muda kwanza alisome alielewe jarada ndio aendelee. hata jaji aliemalizia kesi hiyo ameeleza ugumu alioupata kwenye hilo jarada kwasababu hakuanza nalo yeye.
 
Kesi ya mauaji inahitaji hekima kutoa uamuzi. Lazima uchunguzi wa kina ufanyike. Ushahidi pasipo mashaka upatikane. Watuhumiwa wapewe mtetezi hata kama hana hela.
Ukiamua hukumu ya kunyonga leo na kesho yake ukstekeleza hukumu yako. Baada ya wiki ukabsini kuwa uliyemnyonga hakuwa muuaji utafanysje? Utampata wapi tena.?
 
Nchi ya matukio, wameona wanauwawa kwa kasi sasa wanatafuta mbinu za kuwaonesha wanajali, pia ni muendelezo wa kupumbaza wananchi kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna dhamira ya dhati hata kidogo.
 
umegusa mahakama za kazi naijua kesi ya wafanyakaz wa hotel na mmiliki wa hotel ina mwaka wa 3 haijatolewa mahamuzi.
Hadithi yangu inatufundisha mahakama hizi zinawakingia kifua wenye nazo,hazipo kwa ajiri ya walalahoi.Haki ya hawa wafanyakazi hiko wazi lakini kesi inazungushwa lengo ni kuwachosha tu hawa wafanyakaZi.
 
nikisema hakuna dhamira ya dhati ya kukomesha haya mauaji toka serikalini watu wananiona muongo. huwez kuendesha kesi sensitive namna hii kwa miaka 8 alafu ukaniambia uko serious!
Umenikumbusha ile kesi ya 'NYOKA MWENYE MAKENGEZA, aka, VIJISENTI ilyohusu kugonga kibajaji na kuua raia wasio na hatia alfajiri akiwa, kama sikosei, anawahi kusindikiza michepuko. Kesi hiyo iliendeshwa kwa mwendo kasi mno fang' fang'!! SHAME ON THEM.
:help:
 
Back
Top Bottom