mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,817
- 22,353
Mkwe ambaye MKE anaweza kukaa nae kwa amani ni BABA MKWE.na sio MAMA MKWE...huwa wanahoji HADI MFUKO uliorudi nao KAZINI JANA
.Ulikuwa na nn?akigunduwa ni CHIPS KUKU..na zimeliwa ndani yeye hajapewa...ndy hapo....fitna zinaanza....NDY maana MAMA zetu wanapenda KUTUCHAGULIA wanawake ili wawe WANA REMOTE...anachotaka afanyiwe...