AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 843
Sijawahi sikia mjamzito anaitwa malaya kwa sbb hakufika hosp na mume/mtu aliyempa ujauzito... Kama kweli kaitwa hvyo, ana haki ya kushtaki, lakini pia kama wewe umesema, wakakusikia, wakati hawakusema, wanaweza kukushtaki pia...Je pia ni sahihi wanapowajibu kwamba kama hajaenda na aliyempa ujauzito ni Malaya?
Kwenda kliniki na "baba mzazi" wa mimba ni muhimu, na pia ni sera ya wizara...