Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,740
- 21,874
Kama nimekuelewa......Kuna watoto hupewa majina ya ubin wa baba wa mama zao mfano mama anaitwa ashnuru jumbe mtoto ataitwa kenny jumbe wakati mtia mimba anaitwa obama hivyo huu utaratibu wa clinic ni mzuri unasaidia kwa asilimia kubwa watiaji mimba wahusike kwa namna moja ama nyingine.
.
Ndipo tunarudi palepale kwenye point yangu ya msingi mimba zisizo na baba zitakoma. Hata kama mwanamke binafsi ataamua kuleta baba asie halisi au abambikwe mwingine ambae si yake sisi tunataka tumuone mwanaume basi
Majina ya mtoto yanaanza kujulikana wakati mama anahudhuria kliniki?