Kwanini wajawazito wanafanyiwa hivi?

Kwanini wajawazito wanafanyiwa hivi?

Ndio Mkuu kama amezaa na mume wa mtu anatakiwa apeleke barua kutoka uongozi wa mtaa kuthibitisha

Kama binti amezaa si biashara inakuwa imekwisha!? Nilidhani issue ipo kwenye kuhangaikia ujauzito wake
 
Japo dogo sana hilo kama shida yao ni aliempamimba aende nae si amtafute tuu mtu yeyote anaemuamini kuwa ni mzima akapimwe nae tuu au haiwezekani
Kila anapoenda clinic inatakiwa waende wote, pia kufanyiwa vipimo utachukuaje mtu tu wa mtaani
 
Kama vile wao ni watakatifu!
 
Kuna jambo moja linafanywa kwenye hospitali na zahanati za serikali mimi binafsi naona kama haliko sawa Naomba ndugu zangu mnisaidie kunipa muongozo katika jambo hili.
Kuna binti mmoja amepata ujauzito lakini bahati mbaya kijana aliyehusika amekataa sasa binti huyu amepata changamoto ambayo mimi naiona ni kubwa alipoenda kwenye hospitali fulani ya wazazi ili aanze kliniki. Bahati mbaya amekataliwa kuanza kwa sababu utaratibu wa hospitali unamtaka aende na aliyempa ujauzito na kama amezaa na mume wa mtu basi aende na barua kutoka uongozi wa mtaa.
Akaamua kwenda katika zahanati akakutana na changamoto hiyohiyo, mpaka hivi sasa haeweli afanye nini na ukizinga hospitali za binafsi zina gharama kubwa.
Japokuwa kuna umuhimu mkubwa sana kwa mwanaume na mwanamke kwa pamoja kushiriki Kliniki kwa ajili ya malezi ya mtoto lakini jambo hili naona kama linawanyima wanawake haki hasa ukizingatia kipindi cha ujauzito ni kigumu.
Je pia ni sahihi wanapowajibu kwamba kama hajaenda na aliyempa ujauzito ni Malaya?
Si abebe dume lolote tu,kwani watajua huyu ndo baba mtoto,aniambie hata mie ntamsaidia
 
Ndiyo waache uzinzi..! Safi sana manesi..
 
Mambo mengine wala hayana faida yoyote zaidi ya usumbufu tu.Watu tunaacha kufanya kazi kisa kwenda namama clinic.Hii haina tofauti na yale makanisa yenye misimamo yakutofungisha ndoa hadi mpime ukimwi,wakati ukimwi unapima leo mzima unachepuka kesho unaupata.Matokeo yake inasababisha watu kuwekana ndani kinyemela.Kuna mambo ata kama ni mazuri yanatakiwa yawekewe utaratibu mzuri kuanzia ngazi ya jamii kua na maadili mema nasio kuyatatua kwakuweka mlundikano wa vikwazo.
 
Faida za mwanaume kwenda kliniki ni zipi sasa.??

Na akienda na barua ya serikali za mtaa ndio inakuwa mbadala wa mwanaume au barua hio inawakilisha nini haswa.? na prove nini?

Sasa kama karatasi(barua) inapewa nguvu hvo ina maana kiumbe cha tumboni sio kitu..

Hii yote utakuta ni kwa hisani ya watu wa marekani...Hapo wanatafuta watu wa kuwauzia dawa za ukimwi..?
 
Kuna jambo moja linafanywa kwenye hospitali na zahanati za serikali mimi binafsi naona kama haliko sawa Naomba ndugu zangu mnisaidie kunipa muongozo katika jambo hili.
Kuna binti mmoja amepata ujauzito lakini bahati mbaya kijana aliyehusika amekataa sasa binti huyu amepata changamoto ambayo mimi naiona ni kubwa alipoenda kwenye hospitali fulani ya wazazi ili aanze kliniki. Bahati mbaya amekataliwa kuanza kwa sababu utaratibu wa hospitali unamtaka aende na aliyempa ujauzito na kama amezaa na mume wa mtu basi aende na barua kutoka uongozi wa mtaa.
Akaamua kwenda katika zahanati akakutana na changamoto hiyohiyo, mpaka hivi sasa haeweli afanye nini na ukizinga hospitali za binafsi zina gharama kubwa.
Japokuwa kuna umuhimu mkubwa sana kwa mwanaume na mwanamke kwa pamoja kushiriki Kliniki kwa ajili ya malezi ya mtoto lakini jambo hili naona kama linawanyima wanawake haki hasa ukizingatia kipindi cha ujauzito ni kigumu.
Je pia ni sahihi wanapowajibu kwamba kama hajaenda na aliyempa ujauzito ni Malaya?
Ni kila mahali hata private hospital ni hivyo hivyo cha kumshauri hapo amtafute baba bandia ili apate msaada ni siku ya kwanza tu baadaye ya hapo atahudhuria kliniki mwenyewe
 
Ningekuwa na uwezo wa kufikiri ningeshafanya hivyo kitambo kwahiyo jibu swali!
Kuna watoto hupewa majina ya ubin wa baba wa mama zao mfano mama anaitwa ashnuru jumbe mtoto ataitwa kenny jumbe wakati mtia mimba anaitwa obama hivyo huu utaratibu wa clinic ni mzuri unasaidia kwa asilimia kubwa watiaji mimba wahusike kwa namna moja ama nyingine.
.
Ndipo tunarudi palepale kwenye point yangu ya msingi mimba zisizo na baba zitakoma. Hata kama mwanamke binafsi ataamua kuleta baba asie halisi au abambikwe mwingine ambae si yake sisi tunataka tumuone mwanaume basi
 
Huku kwetu yaan mwanzo wa klnk hadi kwenda kujifungua ni kwenda wote
 
Kuna watoto hupewa majina ya ubin wa baba wa mama zao mfano mama anaitwa ashnuru jumbe mtoto ataitwa kenny jumbe wakati mtia mimba anaitwa obama hivyo huu utaratibu wa clinic ni mzuri unasaidia kwa asilimia kubwa watiaji mimba wahusike kwa namna moja ama nyingine.
.
Ndipo tunarudi palepale kwenye point yangu ya msingi mimba zisizo na baba zitakoma. Hata kama mwanamke binafsi ataamua kuleta baba asie halisi au abambikwe mwingine ambae si yake sisi tunataka tumuone mwanaume basi
Najisikia uvivu kubishana weekend yote hii lakini hoja yako wala haina msingi!
 
Mshauri aende private hospital akaanze klinic huko,wala hakuna gharama kubwa zaidi tu ya kufungua faili hapo hospital na gharama za vipimo maabara basi
 
, dah too pain au aende kwa mtendaji ampe barua kuwa mwenye ametoa mimba kaikana then apeleke hospital manesi wataelewa na watampa huduma.
 
Back
Top Bottom