Kwanini Waislam hawajifunzi?

Kwanini Waislam hawajifunzi?

Jibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?
Basi aendelee kuvumilia teuzi za JPM anazowapa Wakristu, na mwaka 2020 ampigie tena debe JPM ili aje alalamike vizuri
 
Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
Basi msilalamike!! Kubalini matokeo ya uchaguzi wenu.
 
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.

Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.

Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.

Maswali ya kujiuliza ni haya?

Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?

Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?

Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?

Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?

Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.

Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.

Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.

Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.

Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?

Waislam hawajifunzi kitu?
He sasa wakati wa Kikwete ulidhani angesema nini, picha hukuiona?!?!!?
 
mkuu umesahau tu...lkn hata kikwete alilalamikiwa kwamba anawapendelea waislamu...cjui kuhusu katiba mpya..
 
Saizi akitoka mkatoliki tunataka mmoraviani tumechoka sasa kuongozwa na watu wa mataifa wasiomjua mungu
 
Ushauri wangu wawekeze kwenye elimu kwa watoto wao tu
Wakiwa na wasomi na wenye sifa watachaguliwa tu
Hili ndio hawalielewi.. Yaani mtyu anatoa idadi ya wasomi waislamu. Kama unataka kulinganisha tyoa idadi ya wasomi wakristu na wasomi waislamu. Thenuone ratio ya waislamu na wakristu ndio uopate ulinganifu. Kwa hiyo sheikh aje na listi ya waasomi wakristu pia ndio mjadala uendelee!
 
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.

Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.

Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.

Maswali ya kujiuliza ni haya?

Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?

Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?

Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?

Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?

Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.

Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.

Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.

Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.

Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?

Waislam hawajifunzi kitu?

Soma: Christian Hegemony and the Rise of Muslim Militancy in Tanzania
 
Jibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?

Hivyo CCM ndo Baba ya Tanzania, na pmj na mapungufu yake yote lkn hakuna Chama kinachoweza kusimama na kuaminika kama CCM, hiyo ndiyo sababu ya Muhammedana kuipigia kura CCM!
Mods wekeni option ya ku unlike
 
Mungu wangu! Siku hizi wanalialia hovyo tatizo nini? Hata hatuwaelewi, agenda ya maana hawana. Au wamelazimishwa kusali tag au sabato,? Daaaaaa!
 
Usipoiunga mkono CCM unamuunga nani na vyama vyenyewe vya upinzani ndio hivi ambavyo havina malengo ya kwenda IKULU? Vinaacha Sera zao za msingi, havina wagombea wenye sifa na vimejijenga katika Propaganda rahisi ambazo hata mtoto mdogo atashtuka tu!!!!
Hata Trump aliambiwa hana sifa tena na viongozi wakubwa wa chama na rais wa nchi take. Unapo sema hawana sifa una maana gani. Hao wenye sifa toka Uhuru wanalalamikiwa ndo wanaja wakristo kwenye nyazifa zote kama nchi haina waislamu
 
Sina hakika ninachokiandika kitawafikia wahusika lakini baada ya kuona threads mbili zinazomhusu Sheikh Khalifa akimlaumu Magufuli kwa udini wa kupendelea wakristo wenzie nimeona nichangie kidogo.

Sheikh Khalifa amekuwa akizungumza haya toka wakati wa Mwinyi ndio Rais
cha ajabu alipoingia Kikwete Ikulu sheikh Khalifa akanyamaza kimyaa
kuzungumzia msalahi ya waislam na mara kwa mara alikuwa
akimualika Kikwete msikitini na alishiriki kuwapigia kampeni wote
Mkapa,Kikwete na Magufuli.

Sasa leo anaanza kuongea haya haya aliyo yaongea zaidi ya miaka 20 iliyopita
na watu wanamshangilia.

Maswali ya kujiuliza ni haya?

Je, ni lazima waislam waiunge mkono CCM?

Why kila mara malalamiko haya haya lakini ukija uchaguzi hawa hawa kina Khalifa wanaipigia debe CCM?

Je, masuala ya uteuzi hasa teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya si masuala ya kikatiba?

Si katiba ya Warioba kwa mfano ilipinga Rais kuteua wakuu wa wilaya?
Je, kina Khalifa walikuwa wapi kuwashawishi waislam waunge mkono katiba ingine ambayo itaondoa Rais kufanya teuzi na wananchi wakiwemo waislam kuja kuchagua viongozi moja kwa moja?

Nionavyo mimi badala ya kumbembeleza Magufuli au Rais yeyote kuteua wakuu wa wilaya, waislam na wakuu wa mikoa waislam ni bora hizo nafasi ziwe za kuchaguliwa kwa kura na wananchi wachague wanaeona anawafaa.

Suluhisho la madai ya teuzi kwa waislam ni katiba ambayo itawapa wananchi nguvu ya kuchagua wanao wataka ngazi za mikoa na wilaya.

Rais apunguziwe mamlaka ya kuteua watu wengi ambao wengine ndo kama hivyo asilimia 95 ni wa dini yake.

Hivyo ili hilo lifanyike waislam waungane na wote wanaopenda demokrasia kudai katiba mpya ambayo wananchi watakuwa na nguvu na katiba itakayoleta tume huru ya uchaguzi.

Hili la kumlalamikia Magufuli linapaswa kukomeshwa. Nyerere alalamikiwe
na Magufuli pia? Madai yale yale miaka zaidi ya 30?

Waislam hawajifunzi kitu?
Waiyunge vipi katiba mkono? Uliza uwamsho wako wapi? Walihoji kuhusu mchakato wa katiba na muungano, leo hii wako wapi? Wewe huijui ccm? Ukitaka haki nchi hii lazima ujitoe sadaka, kwa maana viongozi hawataki ukweli, hawataki haki, bakwata ipo chini ya ccm ili kuwa control waislam na kuwanyamazisha
 
Kwa kiasi kikubwa waislam ndiyo wanao iweka ccm madarakani adi leo hii, utawasikia oohooo tumchague huyu ni mwenzetu, mara oohooo tusimchague Yulee ni padiri, ohoo huyu katuaidi mahakama ya kadhi, uchaguzi ukipita tuu wananchinjiwa baharinii na kuanza kulialia
 
Suluhisho kuu ni Katiba ya Warioba na sio ya Sitta na Chenge
 
Haya ma-dini ya mapokeo yana shida sana. Ukristo/Uislamu vyote tabu tupu. Bora tungebaki na imani zetu za asili.
 
Na waislam wakikurupuka kwa hizi harakati za Khalifa Khamis wasimlaumu mtu

Kuna masheikh ni khatari kuliko tunavyowajua
 
Back
Top Bottom