Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Kiutani utani lakini facts zipo tele.Wapinzani ndo hawajifunzi,mwaka 2000,mrema sijui kwa kutojua kuwa atawaogopesha waislamu,akamtanguliza kakobe na kuzunguka nae nchi nzima,waislamu wakawa alarmed wakapigia ccm,
mwaka 2010,maskofu wakaporomosha matamko kama hawana akili nzuri dhidi ya jk,waislamu wakawa alarmed wakajiuliza hivi tuchaguwe padri kweli agaisnt jk?,no fking way,,wakachagua ccm.
Mwaka 2015,wagombea wote christian,
hamad,tukashuhudia lowasa akiandamana na ngwajima kila kona huku ngwajima akitetema cheche,watu wakaona hii haijakaa sawa,kugeuka upande wa jpm,amekazana,"NITAKUWA RAIS WA WATU WOTE,DINI ZOTE,KABILA ZOTE"
Wakaona labda hapa kidogo kuna ka unafuu,
so khalifa kukiunga mkono ccm katika chaguzi za nyuma kwa mtizamo wangu,ccm walionekana nafuu kuliko hao wapinzani,sababu upinzani mfano cdm walionekana kuwa na hostility attitude towards muslims.
Always taking the lesser evil
