Afadhali tuiunge mkono ccm manaake hao Chadema ndio kabisaa watatulazimisha kula kitimoto....je ni lazima waislam waiunge mkono CCM?...
Wapi hiyo?
Magufuli yeye ni mwislam ccm eti !!Afadhali tuiunge mkono ccm manaake hao Chadema ndio kabisaa watatulazimisha kula kitimoto.
Ha ha ha, povu.Magufuli yeye ni mwislam ccm eti !!
Haitatokea watu wakaridhika hata siku mojaKumridhisha mwanadamu ni jambo gumu sana, chamsingi ni kuvaaa miwani ya bati tuu, hakuna namna
Jibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?
Hivyo CCM ndo Baba ya Tanzania, na pmj na mapungufu yake yote lkn hakuna Chama kinachoweza kusimama na kuaminika kama CCM, hiyo ndiyo sababu ya Muhammedana kuipigia kura CCM!
Km hakuna mbadala mbona mnali lia sasa?Jibu ni rahisi tu, hakuna mbadala wa CCM na hicho ndicho kinachowafanya siyo tu Waislamu bali Watanzania wengi tu, haya kwa mfano waitose CCM waende wapi, Chadema kwa Walutheri? Kwa maana hata CUF nayo iko chini ya Walutheri chadema, sasa watakuwa wamefanya nini?
Hivyo CCM ndo Baba ya Tanzania, na pmj na mapungufu yake yote lkn hakuna Chama kinachoweza kusimama na kuaminika kama CCM, hiyo ndiyo sababu ya Muhammedana kuipigia kura CCM!
Huyu mama huwa simwelewi. Anang'ata na kupuuliza.Ngoja tumwalike yule Bi Mkubwa wa mitaa ya Tandamti FaizaFoxy labda atatusaidia kiduchu baada ya kuisoma namba vyakutosha.
Acha porojoSiku hizi naona BAKWATA na waislamu wengine huwa wanasali kwa Mzee wa Upako.
Km hauli kitimoto ni ww tu. Wafrika ni watu waajabu sana.Afadhali tuiunge mkono ccm manaake hao Chadema ndio kabisaa watatulazimisha kula kitimoto.