Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake

Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake

Labda zamani, siku hizi mix, nishawahi kuhudumiwa na jamaa ana kama kilo 200, shepu ile ya wainua vyuma vizito kwenye Olympics! Na tattoo mikononi.
 
Angalia thread za huyu mwenzetu hata anavyojiita mzee wa hoja sijui hoja zenyewe ndio zipi, ...
Huyu si ndo yule aliyesema atagombea ubunge Mafia 2010? Maybe ndo anaanza kupiga kampeni kwa wapiga kura wake; kwamba amepanda ndege na kukuta wahudumu wa jinsia ya kike!
 
Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.

ha ha ha te te te we! mkali kama mwalimu wa mahesabu, safi lakini umeongea ukweli umenichekesha sana, japo tafsida kidogo imekuwa adimu.
 
Huyu si ndo yule aliyesema atagombea ubunge Mafia 2010? Maybe ndo anaanza kupiga kampeni kwa wapiga kura wake; kwamba amepanda ndege na kukuta wahudumu wa jinsia ya kike!
gOBU uMEPOTOKA, HATA PICHA YAKO ULIOWEKA HAPO INAONYESHA WEWE NI MDINI SANA NDIO MAAN UKAWEKA HIYO PICHA YAKO HAPO.
 
Back
Top Bottom