Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Malaria Sugu, Jul 14, 2009.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi jana nilipanda ndege kuelekea ugahibuni, nilikutana na wahuduumu wtuu wa kike . jee kwanini iwe hivi. jee
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Panda EGYPTAIR wote ni wanaume.....kwani kuna shida gani? are you a GAY?
   
 3. U

  Ulusungu Member

  #3
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wanawake wanaweza ukarimu hata wakufundishwa, wanaume ni wachache sana wenye ukarimu japo wa kufundishwa uhitajikao katika ndege.usafiri wa ndege ni huduma, kwa hiyo upimaji wa ufanisi wake unategemea sana watoa huduma na ukarimu wao.
   
 4. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mbona mashirika mengi tu ya ndege wahudumu ni mchanganyiko wa jinsia zote. Hebu jaribu kupanda ndege za zaidi ya shirika moja ulilopanda utaona. Hata hivyo ubaya wa wahudumu wote kuwa wa kike au wa kiume nini????????????????
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  precision wako mchanganyiko pia
   
 6. b

  bnhai JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  QATAR mchanganyiko pia
   
 7. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahudumu wa kiume ni wasikivu kwa watu wote. Kama ni mtu wa kilauri utawapenda. Panda KQ jamaa watakupa Tursker mpaka nyingine usundie kwani uendako tasker hakuna.

  Taskeer baridiiiiiiiiii!
   
 8. M

  Malyamungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je AIR India ikojee???
   
 9. Grader

  Grader JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wewe ni malaya mkubwa na ndiyo maana hata shirika hilo la ndege linajaribu kuwatega kwa kuwaweka wanawake ili mtegeke kwa nyie malaya.
  wewe unachotakiwa ni kupata huduma inayostaili,halafu inaonekana ndiyo mara yako ya kwanza kupanda ndege au unasikia tu,ndiyo maana huna uhakika unapokwenda.
  kwa ujinga wako utakuja kesho na mada nyingine ya kuwa kwa nini masecretari,wahudumu wa baa na hotel,mahousegirl,wafagiaji barabarani n.k kwanini ni wanawake.
  Halafu sehemu hii uliyopost hii mada siyo pake,kama mgeni angalia madokezo unapofungua jf.
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160


  Mambo ya precision hayo wanakupa beer hadi basi....thank you guyz
   
 11. N

  Nanu JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa bahati yako tu ukapanda flight yenye shift ya wahudumu wa kike. Panda mara kwa mara utakutana na shift ya wanaume au mchanganyiko. Kwenye ndege hawachagui wahudumu kwa kubagua jinsia, hasa commercial flights. Uko hapo?
   
 12. b

  bnhai JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,207
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Haya ni matusi sasa? Nadhani ameuliza kwa ufaham. Jamani hasira za nini?
   
 13. O

  Orche Senior Member

  #13
  Jul 14, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama we si mgeni kupanda ndege hilo si tatizo, tatizo ni mwoono wako. Kumbuka kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume, wanawake kwa nasaba zao ni wazuri zaidi katika matumizi ya lugha yoyote, wanawake ni wepesi kutoa huduma na unadhifu wao. Pia wanaoomba kazi hiyo wanawake na wanaume wako sawa?
  Lakini wanaume wapo tena si haba kwa airline mbalimbali angalia ATC, Kenya airways, ect.
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160

  Grader,

  That was not necessary! jf community deserves an apology from you
   
 15. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Uwe na stahi ya maneno katika sentensi zako. Huoni kama unatumia lugha ya kuudhi kwa sentensi kama hizo zilizokolezwa hapo juu. Nakushauri umtake radhi mleta mada na wanajf kwa ujumla waliokwazika kwa post yako hii!
   
 16. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Jibu ni kwa sababu wanavutia jinsia zote mbili.kwahio muheshimiwa kama unataka midume sijui airline gani hio na kama hipo utuambie hili tukae nayo mbali.kuna raha yake kuhudumiwa na mwanamke mrembo,inapuguza uchovu wa safari.
   
 17. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Lugha kali sana hii Mkuu! Pengine ni mara yake ya kwanza kupanda ndege lakini kutoa lugha kama hii sidhani kama ni vyema! Tupo kuelimishana tu!
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Women are more welcoming and hospitable. Maybe ni kutokana na there "motherly" nature. Lakini pia wahudumu wa kiume wapo. Tatizo ni kama mtu unadhani wale wanao serve tea pekee ndiyo wahudumu. Na ukipanda ndege nyingi haswa kubwa zenye kuhitaji wahudumu wengi utakuta wa kiume na wakike.

  Sometimes inatokea to profession fulani inavutia watu wa jinsia fulani. Hata manurse na masekretari wapo wakiume lakini unakuta wengi wana kuaga wanawake. Na kuna kazi pia unakuta kuna wanaume wengi zaidi ya wanawake.
   
 19. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  MzeeWaHoja
  Senior Member
  Join Date: Tue Jul 2009 (Piga hesabu ni wiki ngapi, angekuwa bado hajaanza hata kutambaa)
  Posts: 54
  Thanks: 0
  Thanked 2 Times in 2 Posts
   
 20. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2009
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Angalia thread za huyu mwenzetu hata anavyojiita mzee wa hoja sijui hoja zenyewe ndio zipi, tumemsaida kwa lugha ya kistaarabu ameshindikana, sasa anatakiwa kurudishwa kwenye mstari kwa nguvu. Angalia reply ngapi, bahti mbaya nimeondoa waliosoma hizo hoja zake na kuondoka bila kujibu kitu, Napendekeza watu muwe mnasusia hoja zisizotuletea Tija katika mskabari wa nchi hii.

  Thread / Thread Starter
  Replies
  Forum
  Kwanini wahudumu wa ndege huwa wanawake ( 1 2)
  MzeeWaHoja
  18
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Kilichoandikwa na MwanaHalisi dhidi ya Shamsa Mwangunga chatimia Bungeni ( 1 2 3)
  MzeeWaHoja
  23
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Wazungu vinara vya utumwa na si waarabu Afrika
  MzeeWaHoja
  8
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Mbunge wa Mafia anaishi Dar? ( 1 2 3)
  MzeeWaHoja
  22
  Jukwaa la Siasa
  kikwete na 90% ya ushindi 2010 ( 1 2)
  MzeeWaHoja
  10
  Jukwaa la Siasa
  Barua ya wazi kwa wana jf
  MzeeWaHoja
  8
  Complaints, Congrats, Advice
  Symbolism for African-Americans' History
  MzeeWaHoja
  0
  International Forum
  Mh mkuchika usiitumie TFF ZFA kujinasua
  MzeeWaHoja
  0
  Jukwaa la Siasa
  Nipashe, Kulikoni , Gurdian Kulikoni? ( 1 2 3 4)
  MzeeWaHoja
  31
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Spika Sita sheria hizi za uchaguzi zifutwe
  MzeeWaHoja
  0
  Jukwaa la Siasa
  Najitokeza kugombea Ubunge jimbo la Mafia 2010 ( 1 2)
  MzeeWaHoja
  16
  Jukwaa la Siasa
  Mwanahalisi lafilisika? ( 1 2 3)
  MzeeWaHoja
  23
  Jukwaa la Siasa
  Tumpongezeni JK kwa Uhuru huu ( 1 2 3)
  MzeeWaHoja
  29
  Jukwaa la Siasa
  Jukwaa la wahariri ,Moat vinaelekea wapi?
  MzeeWaHoja
  2
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Tido muhando kutoka Bush house kuja Town
  MzeeWaHoja
  1
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Ni wakati wa zfa kumtimua bushiri
  MzeeWaHoja
  0
  Michezo (Sports & Games)
  BBC Swahili hamjali wasikilizaji wenu?
  MzeeWaHoja
  4
  Habari/Hoja mchanganyiko
  Ujumbe kwa salim dimani wa cuf ( 1 2)
  MzeeWaHoja
  10
  Jukwaa la Siasa
  magazeti ya Tz na wachezaji wanaojaribiwa Ulaya
  MzeeWaHoja
  0
  Michezo (Sports & Games)
  Ss kuwajibia mawaziri
  MzeeWaHoja
  0
  Habari/Hoja mchanganyiko
   
Loading...