kalendi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 1,373
- 617
Kasikakia ndio kiswahili gani ?rekebisha
Yaani hata mimi kaniacha#
Kasikakia ndio kiswahili gani ?rekebisha
Always true!kwa sababu mwanamke ni ubavu wa mwanaume.
Kiswahili kinakupa shida siyo? hivi nyie nani aliwaroga?
Scenario:
Mmekaa wawili (mwanamke na mwanaume) bar mnakunywa na kula kwa raha zenu,
Inafika kipengele cha kulipa BILL muhudumu analeta BILL na kumkabidhi mwanaume
Swali;
Kwanini wahudumu hukabidhi bill kwa wanaume na sio wanawake?
Utata;
*Je ni mawazo au uzoefu walionao wahudunu kwamba wanawake hawawez kusimamia show zao na wanasubiri walipiwe?
*Je ni kuonyesha heshima kwa mwanaume kama kichwa?
Angalizo;
Usitumie jazba wakati wa kujibu,kama una stress soma kama guest upumzike!
Hii kali mkuu!
nameless girl anasema eti huwa tunajipendekeza wenyeweKila mtu anajua wanawake wanapenda mteremko.
Kwa hata uumbaji ulivyotokea hujui??? Sasa unataka mwanamke aache alivyolaniwa afanye ulivyolaaniwa Mwanamme??? Utakula kwa jasho, ataazaa kwa uchungu, au ulitaka mungu aseme utamzalisha kwa utamu pia?
Anahudumiwa kwa kila kitu plus walinzi kila kona wa kumlinda.
Mnapenda kulipiwa eeeh baadae muanze kulalamika vichomi
Scenario:
Mmekaa wawili (mwanamke na mwanaume) bar mnakunywa na kula kwa raha zenu,
Inafika kipengele cha kulipa BILL muhudumu analeta BILL na kumkabidhi mwanaume
Swali;
Kwanini wahudumu hukabidhi bill kwa wanaume na sio wanawake?
Utata;
*Je ni mawazo au uzoefu walionao wahudunu kwamba wanawake hawawez kusimamia show zao na wanasubiri walipiwe?
*Je ni kuonyesha heshima kwa mwanaume kama kichwa?
Angalizo;
Usitumie jazba wakati wa kujibu,kama una stress soma kama guest upumzike!
Duuuu umejibu vizuri sana, napenda majibu mepesi na malaini km haya toka kwa -ke hata kukopa nitakopa kwenda kumnunulia kitu kizuri akipendacho! Ahsante!
Always mwanamke anajulikana kuwa Dependant! Tusiwalaumu