Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
- Thread starter
-
- #81
Zitaleta Neema kama zikichukuliwa chanya na kufanyiwa kazi na akili kubwa, zikishughulikiwa na akili ndogo basi zitaonekana zinaogopesha watu.Hizi taarifa zinaogopesha watu wataogopa kutibiwa hapo
Wanashindwa jiuliza why alipewa referral in first place,Nenda pale emergency department utaelewa kwa nini wagonjwa wengi wanafia Mloganzila, uliza wengi wakifika pale hali zao za afya zikoje.
Imagine una mgonjwa Bosch, ametibiwa for a month, wakiona huyu anakufa wanampa rufaa kwenda MNH, wakipiga simu emergency ya MNH wanaambiwa huyo mpelekeni tawi la Mloganzila(kuna emergency correspondent anaelekeza either aletwe Upanga au Mloga), akipokelewa hakai hata siku mbili anakufa. Lawama mnapeleka kwa Mloganzila.
Utarudi kushuhudia hapa maan mkataa wengi mchawiAkili za kijinga tu za watanzania walio wengi.pale mloganzila wana madaktari wengi tu tena wenye uzoefu na mabingwa kutoka muhimbili . Vifaa vya kutosha vipo .labda niwaulize tu ni hospitali gani wagonjwa hawafi?
Acha kujichekesha mkuuSema wabongo tunajua kujazana hofu,
Mleta mada kaja na maswali na conclusion bila kuwa na uelewa hata wa Mloganzila na Muhimbili zilivyo 😂😂😂
Hajui kuwa hata mloganzila na Muhimbili- Upanga ni hospital moja 😂
Hajui kuwa Mloganzila ina death rate ndogo sana kuliko MNH-Upanga,
Hajui kuwa MNH-MLG ilishatolewa chini ya MUHAS toka 2017 huko kipindi cha mwendazake ikawa chini ya MNH hivyo sio hospital ya mafunzo tena,
Kwa kukusaidia, Ile ni hospital ya taifa pale wanaenda watu hoi bin taaban walioshindwa hospital nyingine zooooote nchini hapa,
.halafu nenda japo siku moja MLG kaongee na wagonjwa wa pale na ndugu wakupe maoni yao
Mbona Salt mwenyewe hakua f.ala hivi?Sifa za bwana fulani kutumia nguvu kuliko akili, kulazimisha mambo aonekane kafanya makubwa.....hospital haijajikamilisha miundombinu wala wafanyakazi ikaanza kuchapa kazi....itaacha kuwa mochwareee??!
Lisemwalo lipo.Akili za kijinga tu za watanzania walio wengi.pale mloganzila wana madaktari wengi tu tena wenye uzoefu na mabingwa kutoka muhimbili . Vifaa vya kutosha vipo .labda niwaulize tu ni hospitali gani wagonjwa hawafi?
Masonic unawajua?Ile Hospital inafadhiliwa na devil worship,super masonic wenyewe, na kuna mambo ya ajabu yatatokea pale ambayo hujawahi ona.Now wameanza na surgery za kubadiki maungo.
Sometimes wanakua kama wana bahatisha bahatisha na umakini una kua mdogo , asa unakuta professer yeye ana point tuu badala afanye 🚮Sifa za bwana fulani kutumia nguvu kuliko akili, kulazimisha mambo aonekane kafanya makubwa.....hospital haijajikamilisha miundombinu wala wafanyakazi ikaanza kuchapa kazi....itaacha kuwa mochwareee??!
Hao wagonjwa walio hoi bin taabani, kwamba wakitibiwa hapo mloganzila ndio hupona?Sema wabongo tunajua kujazana hofu,
Mleta mada kaja na maswali na conclusion bila kuwa na uelewa hata wa Mloganzila na Muhimbili zilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kuwa hata mloganzila na Muhimbili- Upanga ni hospital moja [emoji23]
Hajui kuwa Mloganzila ina death rate ndogo sana kuliko MNH-Upanga,
Hajui kuwa MNH-MLG ilishatolewa chini ya MUHAS toka 2017 huko kipindi cha mwendazake ikawa chini ya MNH hivyo sio hospital ya mafunzo tena,
Kwa kukusaidia, Ile ni hospital ya taifa pale wanaenda watu hoi bin taaban walioshindwa hospital nyingine zooooote nchini hapa,
.halafu nenda japo siku moja MLG kaongee na wagonjwa wa pale na ndugu wakupe maoni yao
Fa.lah ni wewe mochare attendant
Bugando mhhhLeta rate hio kwa hospital kubwa 5 Tz hii,
Weka MNH- Upanga
MNH-MLG
Benjamin
Bugando
KCMC
Tuone nani ana rate kubwa na nani ana rate ndogo, acheni kuja na hearsay hapa
Ulisoma Research Methods, kuna:-Sema wabongo tunajua kujazana hofu,
Mleta mada kaja na maswali na conclusion bila kuwa na uelewa hata wa Mloganzila na Muhimbili zilivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui kuwa hata mloganzila na Muhimbili- Upanga ni hospital moja [emoji23]
Hajui kuwa Mloganzila ina death rate ndogo sana kuliko MNH-Upanga,
Hajui kuwa MNH-MLG ilishatolewa chini ya MUHAS toka 2017 huko kipindi cha mwendazake ikawa chini ya MNH hivyo sio hospital ya mafunzo tena,
Kwa kukusaidia, Ile ni hospital ya taifa pale wanaenda watu hoi bin taaban walioshindwa hospital nyingine zooooote nchini hapa,
.halafu nenda japo siku moja MLG kaongee na wagonjwa wa pale na ndugu wakupe maoni yao
Ushawahi tibiwa MLG? ushawahi fika ? Pengine upo zako Mbeya huko halafu unaisema MLG, Nenda pale kaongee na ndugu wa wagonjwaHao wagonjwa walio hoi bin taabani, kwamba wakitibiwa hapo mloganzila ndio hupona?
Kwani mloganzila ni ICU?
Jibu point mkuuAcha kujichekesha mkuu