Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

Ukiona comment za watu ndivyo unazidi kuonea Watz wanayojifanya wajuaji Kwa vitu/kitu wasichokijua. Watumishi SMZ wana mishahara midogo Sana ukilinganish na Tz Bara labda wale wanofanya taasisi za Muungano
 
Ok.Kwa nini wao wawe na nyongeza na Tanganyika hawana.
NB;Vumilia neno Tanganyika.
Mbona simple tu...

Ukiacha wizara zilizopo kwenye muungano ambazo zipo chini ya hazina ya JMT, wizara nyingine zote Zenji zipo chini ya SMZ ambao nao wana hazina na utumishi yao, hivyo maamuzi ya SMZ hayaingiliani na yale ya JMT...

Kulalamika kwa nini watumishi wa SMZ wawe na maslahi tofauti na Bara (Tanganyika), ni sawa kabisa na kulalamika kwa nini watumishi wa serikali ya Kenya wawe na maslahi tofauti na Tanzania...
 
Vema.Kumbe ni nchi mbili tofauti?Sasa neno "muungano" na majidai yote kusherehesha huo unaoitwa muungano(hewa) ya nini?Siyo kupotezeana muda na kudanganyana tu?
 
Vema.Kumbe ni nchi mbili tofauti?Sasa neno "muungano" na majidai yote kusherehesha huo unaoitwa muungano(hewa) ya nini?Siyo kupotezeana muda na kudanganyana tu?

Mzee baba mimi nimemsaidia mleta mada kuelewa ya kwamba, Zenji na Bara ni mamlaka mbili tofauti, zenye watumishi waonaozitumikia serikali mbili tofauti...

Na kwa kuongezea, hata mamlaka za ukusanyaji mapato ni mbili tofauti...

Mathalani kwa mwaka wa fedha 2023/2024, mamalaka ya mapato Zenji ilikusanya mapato zaidi ya lengo, sasa kwa uchache wa wafanyakazi wa umma huko Zenji ni wazi ongezeko la mapato linaweza tumika kuongeza mishahara ya kada fulani...

Lakini ukija Bara, najua wajua jinsi ripoti zetu za CAG zinavyokuwa na hati chafu, hivyo mapato hata yakizidi yataishia kufukia mashimo mahali pesa ilipofujwa...
 
Back
Top Bottom