Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 539
- 583
Kama watatu hv.. nakazi still inaendelea
Kama watatu hv.. nakazi still inaendelea
Si kweliKwa sababu ndio mnaowapenda.
Alafu nanatiana na wanaume weusi uyo mtoto mweupe atokee wapToka tuaminishwe rangi nyeusi ina uhusiano na shetani hakuna anayetaka si wanawake si wanaume si waafrika si wazungu, si waarabu sin wachina si wahindi si walatino hakuna anayeitaka.
Ni kutojitambua tu.Sasa watu wanashindwa kutofautisha afya ya mtoto na rangi ya mtoto, mtoto mwenye afya nzuri ndio kipenzi cha watu ila sio rangi. Ndio maana ukiwa na mtoto mwenye afya ya ukweli ukikutana na mtu yeyote hata ukiwa safarini kitu cha kwanza mtoto atashikwa shavu, kimkono au kimguu chake kama hujamvisha soksi lakini hapo huo mvuto huletwa na afya ya mtoto. Mtoto mwenye afya nzuri anavutia buana hachoshi kuangalia, kumgusa na kumbusu pia.
Shombe Shombe bay bayKwa mujibu wa utafiti wangu. Wadada wanapenda kuzaa watoto weupe hata kama wao ni weusi tii kama mkaa.
Sijajua umeelewa nini kwenye comments zangu au umedandia gari kwa mbele tuu boss wangu,Ni kutojitambua tu.
Huo ni moja wapo ya ubaguzi
watoto wana maumbile tofauti na hilo lazima wote tukubaliane nalo
Hatuwezi kufanana kwa kila kitu hilo haliwezekani
Eti inakuvutia????
We unakumbuka ulivyokuwa mdogo ulikuwa kundi gani? Kati ya hayo makundi mawili?
Labda ulibaguliwa, halafu leo hii unashangilia na kujiona uko sahihi..