Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Whitewashed. Muafrika hajawahi penda rangi, ngozi, nywele, tamaduni yake kila siku anafanya jitihada za kuwa kama mzungu
 
Kama ulivyosema hili suala ndiyo jinsi lilivyo. Halafu wanasema hawatak wanaume weupe, mara wanaume weupe wanajisikia sana nk. Kweli baniani mbaya kiatu chake dawa
 
Toka tuaminishwe rangi nyeusi ina uhusiano na shetani hakuna anayetaka si wanawake si wanaume si waafrika si wazungu, si waarabu sin wachina si wahindi si walatino hakuna anayeitaka.
 
Toka tuaminishwe rangi nyeusi ina uhusiano na shetani hakuna anayetaka si wanawake si wanaume si waafrika si wazungu, si waarabu sin wachina si wahindi si walatino hakuna anayeitaka.
Alafu nanatiana na wanaume weusi uyo mtoto mweupe atokee wap
 
Umesema kweli..ila no kasumba tu!hata kwenye kusikia utasikia katoto ka mwajuma kazuri "KEUPEEEE"
 
Sasa watu wanashindwa kutofautisha afya ya mtoto na rangi ya mtoto, mtoto mwenye afya nzuri ndio kipenzi cha watu ila sio rangi. Ndio maana ukiwa na mtoto mwenye afya ya ukweli ukikutana na mtu yeyote hata ukiwa safarini kitu cha kwanza mtoto atashikwa shavu, kimkono au kimguu chake kama hujamvisha soksi lakini hapo huo mvuto huletwa na afya ya mtoto. Mtoto mwenye afya nzuri anavutia buana hachoshi kuangalia, kumgusa na kumbusu pia.
Ni kutojitambua tu.

Huo ni moja wapo ya ubaguzi

watoto wana maumbile tofauti na hilo lazima wote tukubaliane nalo

Hatuwezi kufanana kwa kila kitu hilo haliwezekani

Eti inakuvutia????

We unakumbuka ulivyokuwa mdogo ulikuwa kundi gani? Kati ya hayo makundi mawili?

Labda ulibaguliwa, halafu leo hii unashangilia na kujiona uko sahihi..
 
Sijajua umeelewa nini kwenye comments zangu au umedandia gari kwa mbele tuu boss wangu,
Sijabagua chochote soma vizuri comments zangu na ujifunze kuelewa pia usikae kwenye engo ya kubishana tuu
 
Back
Top Bottom