Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Sasa watu wanashindwa kutofautisha afya ya mtoto na rangi ya mtoto, mtoto mwenye afya nzuri ndio kipenzi cha watu ila sio rangi. Ndio maana ukiwa na mtoto mwenye afya ya ukweli ukikutana na mtu yeyote hata ukiwa safarini kitu cha kwanza mtoto atashikwa shavu, kimkono au kimguu chake kama hujamvisha soksi lakini hapo huo mvuto huletwa na afya ya mtoto. Mtoto mwenye afya nzuri anavutia buana hachoshi kuangalia, kumgusa na kumbusu pia.

Kweli kabisa, na wanatamanisha sana kumbeba pia. Sa akiwa hana afya mtu utaogopa hata kumshika kwa kuona ataumia.
 
Waache mawazo finyu hayo watoto wote ni wazuri cha muhimu ni kuwapatia lishe nzuri na malezi yaliyo bora.
ce781cc37cbf80bf27664f8be36554c9.jpg
26d3d2b81b0d2b36868ff617a5cdd8cc.jpg
 
Si ndio maana wanajichubua, kumbe mambo yenyewe ndio hayo loh!!!

Mwenzangu!, mtu anabagua mpaka mtoto, upotofu wa fikra kupita kipimo. Mtoto ni mtoto tu kiumbe kisicho hatia kwa kweli, cha muhimu afya kama alivyosema Ney.
Na hii ndo inasababisha mawazo kujengeka kwa mtu toka utotoni kama anabaguliwa hivi, ya kuona weupe ni bora. Na hata walio weupe kidogo nao wanakuwa hawaridhiki na kutaka kujiongeza.
 
Mm mweusi, Mr mweusi mtoto wetu anakaweupe japenda vile saana, japo tukimbeba tunaonekana siyo wazazi wake kwa rangi, ila kafanana sana na babake
 
Mwenzangu!, mtu anabagua mpaka mtoto, upotofu wa fikra kupita kipimo. Mtoto ni mtoto tu kiumbe kisicho hatia kwa kweli, cha muhimu afya kama alivyosema Ney.
Na hii ndo inasababisha mawazo kujengeka kwa mtu toka utotoni kama anabaguliwa hivi, ya kuona weupe ni bora. Na hata walio weupe kidogo nao wanakuwa hawaridhiki na kutaka kujiongeza.
Wako brain washed mama. Ndio hao unakuta atahangaika angalau azae na mwanaume fulani bila hata kujali wellbeing ya huyo mtoto. Akili za kushikiwa taabu sana.
 
Wako brain washed mama. Ndio hao unakuta atahangaika angalau azae na mwanaume fulani bila hata kujali wellbeing ya huyo mtoto. Akili za kushikiwa taabu sana.

Kwa kweli acha tu, akili za kushikiwa haswa.
Anafuta wa kutoa nae cheupe, halafu na bado yeye anaenda kujikoboa.
Kuna mmoja fair skin tulikuwa tunamuona mrembo haswa, kumbe mwenzetu hajikubali akaenda kujiongeza rangi.
Nakuja muona few yrs later, nashangaa kazaliwa upya lakini tatizo likaja dawa ilikuwa na nguvu sana kwenye fair skin yake kiasi ikambadili nusu ya uso kuwa kijani fulani hivi. Hakuwa na choice zaidi ya kuwa na style moja ya nywele kila siku kuangukia upande mmoja ili afiche rangi tofauti za uso wake.
 
Acha waungue tu kwakweli, mtu asojikubali ni tatizo.
 
AFYA dhaifu? So mwanao akiwa na afya dhaifu utamchukia

km mwanamke utapigana mwanao awe na afya bora kwanza mie hua namini afya bora inaanzia tumboni na kwa mama mwenyewe,mama unanyonhyesha lakin huach kushindia michips hyo afya nzur mtoto anaipataje?mtoto haongezeki kilo KATU
 
Yaan nnavopenda Wanaume weusi mungu anijalie mtoto wa kiume mweusi wakike awe kama Mimi inshallah
 
Back
Top Bottom