Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Ni kweli Ney..afya ya mtoto ndo kitu cha muhimu zaidi.
Sasa watu wanashindwa kutofautisha afya ya mtoto na rangi ya mtoto, mtoto mwenye afya nzuri ndio kipenzi cha watu ila sio rangi. Ndio maana ukiwa na mtoto mwenye afya ya ukweli ukikutana na mtu yeyote hata ukiwa safarini kitu cha kwanza mtoto atashikwa shavu, kimkono au kimguu chake kama hujamvisha soksi lakini hapo huo mvuto huletwa na afya ya mtoto. Mtoto mwenye afya nzuri anavutia buana hachoshi kuangalia, kumgusa na kumbusu pia.
 
Wenye utumwa wa fikra hawawezi kukuelewa, kwao mtoto anaevutia ni mweupe tu.
 
Ndo mana hata wanawake weupe wana soko kuliko weusi..

Yaani mweupe hata kama hana shape ile rangi tu inakufanya unampa attention. Ila mweusi labda kitachombeba awe amejaliwa shape vinginevo it become hectic hata kuanza kufikiria kumtongoza
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom