Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Kwa hyo sie Mashombe madame wengi wanapenda tuwazalie mababy.. et mkuu
 
ukiwa chotara raha sana unamega dada za watu afu wako hawamegwi
 
1c51c3bb93de2f9cc50bffd6f1a0fbf4.jpg
vina raha yake bhana
 
Kwa mujibu wa utafiti wangu..
Na wanapenda kuzaa watoto weupe atakama wao ni weusi tii kama mkaa..
Binafsi napenda mtoto mwenye afya nzuri haijalishi ana rangi gani, awe mweusi mweupe au majiyakunde. Mtoto akiwa na afya anamvutia mtu yeyote yule. Mtoto akiwa na afya dhaifu huwa avutii hata awe mweupe kiasi gani.
 
AFYA dhaifu? So mwanao akiwa na afya dhaifu utamchukia
 
Back
Top Bottom