Kwanini Wachungaji wengi siku hizi wanahubiri mafanikio ya pesa na sio wokovu wa roho?

Imani hii ipo na Biblia inaitaja kwa jina "watu wa njia hii" ambao walipatikana kutoka ktk kazi ya wahubiri mahiri (wapindua ulimwengu) waliokuwa wakisambaza injili pamoja na mtume Paul
mm ukishaniambia mlokole,najua ni mnafiki !!, Kwanza hakuna Imani duniani inayoitwa mlokole!!
 
Shalom wapendwa, nataka kujua kuhusu hawa Wachungaji wa michongo inakuwaje wajikite kuhubiri mafanikio ya pesa na mali na sio mafanikio ya kiroho.

Leo hii vijana wengi wamekimbilia kuanzisha makanisa huku wakijiita mitume, manabii, maaskofu nk lakini nimejaribu kusikiliza mafundisho yao yapo kinyume na ukweli wa kibiblia yaani hawajui kuichambua Biblia kama neno la Mungu lisilo na ubaguzi ktk kumhudumia muhitaji.

kuna baadhi ya makanisa haya ya Wachungaji wa michongo ni wabaguzi wakubwa wanaotenga hadi viti maalum kwa watu maalum (VIP)

Hapo tusemeje kuhusu Mungu maana Mungu sio wa kubagua bali huwahudumia wote wenye mali na wasio na mali.

Kwanini Wachungaji wa michongo huhubiri pesa zaidi kuliko mafanikio ya kiroho?

View attachment 2079225
Toka lini ukaona nabii mchaga..jiulize kwanza.hahahah
 
Kwa sababu ndiyo tatizo kuu linalowasumbua watu.

Kwa nani uliwahi kwenda ukakuta mezani wametenga wokovu ?
 
Nadhani miaka 100 mbele dini itakuwa kwenye wakati mgumu sana

Hayo makanisa ya kiwokovu hayana miundo wa kuwajenge watoto ambao ndio kanisa la kesho, badala yake ni mafanikio tu ndio yahubiriwayo.
 
Hii inahusu makanisa yasiyo na Sunday school kwa ajili ya watoto.
 
Shalom wapendwa, nataka kujua kuhusu hawa Wachungaji wa michongo inakuwaje wajikite kuhubiri mafanikio ya pesa na mali na sio mafanikio ya kiroho.

Leo hii vijana wengi wamekimbilia kuanzisha makanisa huku wakijiita mitume, manabii, maaskofu nk lakini nimejaribu kusikiliza mafundisho yao yapo kinyume na ukweli wa kibiblia yaani hawajui kuichambua Biblia kama neno la Mungu lisilo na ubaguzi ktk kumhudumia muhitaji.

kuna baadhi ya makanisa haya ya Wachungaji wa michongo ni wabaguzi wakubwa wanaotenga hadi viti maalum kwa watu maalum (VIP)

Hapo tusemeje kuhusu Mungu maana Mungu sio wa kubagua bali huwahudumia wote wenye mali na wasio na mali.

Kwanini Wachungaji wa michongo huhubiri pesa zaidi kuliko mafanikio ya kiroho?

View attachment 2079225
ULIVYOSEMA WACHUNGAJI WA MCHONGO NIKAJUA HAMNA KAZI HAPA
 
Tuition za kiroho upupu mwingi sana
 
Kwani we mahubiri ya wokovu wa roho umeshayasikia bado!?
 
Mara nyingi DJ mzuri ni yule anayetembea na mzuka wa mashabiki wake kwa kupiga ngoma wanazopenda.
Lakini Wachungaji wa kweli huongozwa na Roho Mtakatifu na sio mzuka (pepo wachafu) ila hao Wachungaji feki wote huongozwa na mzuka wa mashabiki, tena husifiwa sana tu
 
Back
Top Bottom