Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,673
Hawaishi dunia ya kumiliki mali bali roho na hupata wakitakacho muda wowote na popote na kwa namna yoyote ileHawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
Halafu uchawi ni ndugu wa umasikini na uchafuuchawi maana yake ni umasikini.
Ni lazima wapinge Maendeleo, unafikiri (mfano) Nchi/ Mikoa yakitapakaa Maghorofa, Watasafiri vipi kutumia NYUNGO zao, kumbuka wao hupita chinichini, laiti kama wangeruhusiwa kuvaa (vitu kama KOTI Zito) wao pia wangeweza KUKWEA Angani.Wachawi ni wapinga maendeleo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana mbona anamafanikio fresh tu mshikaji
Unayeona hana maendeleo na waona ni mchawi basi jua ana naendeleo ktk ulimwengu wa Giza anaheshimika kwani ana miliki uwezo wa ajabu na hicho ndiyo kitu pekee cha kujivunia kwake.Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
MkuuHawaishi dunia ya kumiliki mali bali roho na hupata wakitakacho muda wowote na popote na kwa namna yoyote ile