Kwanini wachawi hawana maendeleo?

Kwanini wachawi hawana maendeleo?

Wana utajiri wao upande wa uchawini... Kwenye giza huko...


Huku ulimwenguni hawana kitu, ni masikini tu...



Cc: mahondaw
 
Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
MTU AMBAE NI MCHAWI ANAMILIKI MISUKULE YA KING KE NA ME KUNA DILI KUBWA SAANA NJOON PRIVATE TUPIGE STORI NJOO UONDOKANE NA UMASIKINI
 
Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu
Je na nchi zinazosifika kwa uchawi zisizo na maendeleo zijadiliwe au tujadili watu wake tu ?
 
Uchawi maana yake ni UJIMA, (Rejea Kamusi ya kiswahili kupata maana)

Huwezi kuuliza swali, ni kwa nini mtoto Mchanga hatembei...!!

Wachawi ni watu wa kwanza na wa pekee, wanao zingatia MIIKO ya Kazi/Fani yao..

Usitake MCHAWI afanane na kuwa na maisha sawa na Mfanyakazi au Wafanya biashara Mafisadi..!
Duhhh
 
Hawana pesa, Mali, wala vitu vya thamani.
Utasikia fulani ana misukulie inamlimia, lakini hutomuona huyo mchawi akipata mavuno ya ziada ya kuweza kuuza na kuongeza kipato.
Watoto wa wachawi hawana afya, na maendeleo yao shuleni huwa yako chini sana.
Je ni nini faida ya kuwa mchawi?
FaizaFoxy
MziziMkavu, Mtu mzito, mshana jr, na jichawi mnipe majibu


Ni kwa sababu wanaogopa mateso ndiyo maana wanawapa watu misukule na masharti ambayo wakishindwa kutimiza wanauwawa kinyama.
 
Nimesikia mahali kwamba mchawi akienda mahali kufanya ulozi wake kwenye hilo eneo akiwa na nia ya kuondoka hata na sindanano hawezi kutoka hapo!!
 
Kwa sababu wana roho mbaya sana,wanaenda kinyume na lawa of attraction hawawez kufanikiwa...wana allergy na mafanikio na hata wakifanikiwa mafanikio yao hayadumu maana wenzake wanaweza kumla nyama
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom