Kwanini wabunge wetu hawaja azimia chochote from their payments?

mifumo kwa wenzetu angalau inaeleweka na kama mtu ni tajiri basi ni tajiri haswa
huku kwetu mambo mda wowote yanabadilika
unatoa msaada leo kesho unaanguka hakuna anayekuangalia mara mbili
hivyo mtu anaona alichonacho bora aendelee kukitumia na familia yake tu
Hahahaaaa.........lkn uaminifu unaanza na kidogo ulichonacho
 

Attachments

  • IMG-20200331-WA0076.jpg
    IMG-20200331-WA0076.jpg
    35.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom