Kwanini wabunge wetu hawaja azimia chochote from their payments?

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Yah ni verb ulifikir ni preposition au

State.Definition 9. (Verb) express in words
Synonym: say
state
tell
Hyponym: add
announce
answer
append
articulate
declare
enunciate
explain
get out
give
introduce
lay out
mention
misstate
note
observe
precede
preface
premise
present
remark
reply
represent
respond
sum
sum up
summarise
summarize
supply
vocalise
vocalize
hypernym: express
give tongue to
utter
verbalise
verbalize
Example: He said that he wanted to marry her
tell me what is bothering you
state your opinion
state your name


Now state what you know
Ok
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Tumbo niachie nimwachie Manenge...
Tumbo niachie nimwachie Manenge...
Mara ubavu mmoja ukapasuka puuuh...

Hapo ndiyo utajua tuna serikali ya maridhiano na umoja wa kitaifa, ukijaribu kugusa posho za wapendwa kuheshimiwa....


Everyday is Saturday................ :cool:
Hahahaaa.......kwa kiasi kikubwa lengo sio kuwawakilisha wananchi bali kuwakilisha matumbo yao
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Hutaweza sikia hichokitu..ila wanaweza pitisha azimio mishahara ya watumishi wa umma ikatwe..wanasiasa wote wa Tz ni wachumia tumbo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni ngumu ukizingatia watumishi hawajaonyezewa mishara na hawajapandishwa madaraja for almost 5 years now.......itakua kukanyaga kidonda
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
🤣🤣🤣🤣 watu wana mikopo expenses zao zipo juu mahitaji kibao kwa familia
alafu bado tuu waendelee kupunguza hahaaa sio tz hii aisee
Kwahiyo tuseme wengine wanaopunguza mishahara na posho zao expenses zao ziko chini?
AKUFAAYE KWA DHIKI.....
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,953
2,000
Kila mara huwa najiuliza...... *KWA NN WANAITWA WAHESIMIWA* Huwa nashamgaa zaidi nnaposikia hata makonda naye ni mheshimiwa
Hahaha...hili neno mheshimiwa limewapa sana kiki hawa wanasihasa hata kama kichwani ni weupe, aka. mazwazwa
 

raraa reree

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
948
1,000
Kwahiyo tuseme wengine wanaopunguza mishahara na posho zao expenses zao ziko chini?
AKUFAAYE KWA DHIKI.....
mifumo kwa wenzetu angalau inaeleweka na kama mtu ni tajiri basi ni tajiri haswa
huku kwetu mambo mda wowote yanabadilika
unatoa msaada leo kesho unaanguka hakuna anayekuangalia mara mbili
hivyo mtu anaona alichonacho bora aendelee kukitumia na familia yake tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom